Tunaopeleka magari yetu Car wash tukutane hapa.

Sabuni nyingi za unga zinazotumiwa kuosha magari zina detergent agent kali sana. Matokeo yake baada ya muda rangi ya gari inaanza kufifia na baaye kubabuka kabisa.
 
Back
Top Bottom