Tunaomiliki ardhi kwa barua ya toleo mwisho march 30

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
3,873
4,103
Tangazo lililotolewa hivi karibuni linawataka raia wote wenye barua za toleo (letter of offer of right of occupancy) kuzisalimisha ofisi za ardhi ktk wilaya husika ili mchakato wa kupata hati miliki uweze kufanyika (title deed) certificate of right of occupancy).
Je kwa wale ambao tumetumia nyaraka hizi benki itakuwaje?
Kwa upande hizi taasi za fedha hali itakuwaje?
 
Mkuu unaweza kuweka hilo tangazo? Hiyo deadline cjui kama wamewafikiria watu walioko nje ya nchi.
 
haina tatizo mkuu,nitaliweka hapa. lakini usipende sana kuwa kama tomaso kwa jambo ambalo unaweza enda ofisi husika kwa utekelezaji.
 
Hapana mkuu umeleta kitu sensitive sana, inawezekana kuna baadh ya taarifa hukuisema ndo maana nikauliza na si unaujua tena sometimes mambo ya jf, ila hii deadline cjui.
 
Tangazo lililotolewa hivi karibuni linawataka raia wote wenye barua za toleo (letter of offer of right of occupancy) kuzisalimisha ofisi za ardhi ktk wilaya husika ili mchakato wa kupata hati miliki uweze kufanyika (title deed) certificate of right of occupancy).
Je kwa wale ambao tumetumia nyaraka hizi benki itakuwaje?
Kwa upande hizi taasi za fedha hali itakuwaje?
Duh yangu ya 2003
 
s
Hapana mkuu umeleta kitu sensitive sana, inawezekana kuna baadh ya taarifa hukuisema ndo maana nikauliza na si unaujua tena sometimes mambo ya jf, ila hii deadline cjui.
Sawa mkuu,mwisho kuzipeleka ni trh 30 march 2016.
Pamoja na kuwa na lengo la kupatiwa haki miliki,watafanya ukaguzi wa usahihi wa eneo ulilopewa,
 
Muda wote watu mlikuwa mnangojea nini kuomba hati jamani. Offer ni kwa miaka mitatu tu, kama hujaendeleza unapigwa za shingo.
 
Mkuu unaweza kuweka hilo tangazo? Hiyo deadline cjui kama wamewafikiria watu walioko nje ya nchi.
tangazo hilo hapo mkuu.
20160118_083549.jpg
 
Back
Top Bottom