Nilisoma nikaona ni maswali rahisi Sana lakini nilivyoanza kujibu tu nikagunduwa siyo maswali rahisi nikaamuwa kujibu hivyo hivyo kila swali point 10-13 maana zilikuwa zinakuja nyingi sana ila nimeshafaulu ,,mkiona amefauru mtu mmoja tuu mjuwe ni Mimi tuuππππππ