Nasikia 50% anaiona Dunia na 50% anaiona Kinondoni Makaburini. Wakongo wanasema AZOMATA AZOMATE Kudadadeki.GENTAMYCINE tunaomba muongozo juu ya hali ya Pr Kitima
Ni kweli kabisa, tunaomba mtupatie feedback kuhusu suala hiliMlio karibu na mahali anapo hudumiwa mtupe mrejesho wa maendeleo ya afya yake maana kumekuwa na ukimya wa maendeleo ya afya yake.
Kama ni kweli alishambuliwa Kitaalam na Wataalam wa Kazi hizo, basi akipona kabisa na Akili yake ikawa sawa ni Kheri.Ahamishwe Nje ya Nchi kwa matibabu zaidi,Kama bado yupo Bongo ni uongo
WE JAMAA NI MKOROFI SANANasikia 50% anaiona Dunia na 50% anaiona Kinondoni Makaburini. Wakongo wanasema AZOMATA AZOMATE Kudadadeki.
Azomata azokita,full back anapanda na kushuka..hiyo 50/50 ni kweli!?Nasikia 50% anaiona Dunia na 50% anaiona Kinondoni Makaburini. Wakongo wanasema AZOMATA AZOMATE Kudadadeki.
Wataalam huwa hawapigi tu,hupiga kimkakatiKama ni kweli alishambuliwa Kitaalam na Wataalam wa Kazi hizo, basi akipona kabisa na Akili yake ikawa sawa ni Kheri.
Kwanini Mkuu?WE JAMAA NI MKOROFI SANA
Topic Closed. Nimependa sana hilo neno la 'Kimkakati' ulilolitumia.Wataalam huwa hawapigi tu,hupiga kimkakati
Wale wanajua wakupigeje Ili kitokee niniTopic Closed. Nimependa sana hilo neno la 'Kimkakati' ulilolitumia.
Mkuu mbona unaandika kama vile Wewe ndiyo ulikuwa Mastermind wa Nondo Mbili za maana zenye Sumu kutua Kurasini?Wale wanajua wakupigeje Ili kitokee nini
Zilikua na sumu!!?Mkuu mbona unaandika kama vile Wewe ndiyo ulikuwa Mastermind wa Nondo Mbili za maana zenye Sumu kutua Kurasini?
😂 Jamani si poaNasikia 50% anaiona Dunia na 50% anaiona Kinondoni Makaburini. Wakongo wanasema AZOMATA AZOMATE Kudadadeki.
Watu wa Mkakati wakipanga Mkakati wowote ni lazima Mkakati huo nao uendane na Sumu za Kimkakati ili Mkakati utimie.Zilikua na sumu!!?
Ukisikia tu Mkongo / Wakongo Mani (akina Bandeko Nangai) wanakuambia AZOMA TA AZOMA TEE jua tayari KAZI imeisha.😂 Jamani si poa