Tunaojiandaa kufanya pragatii tukutane hapa

Tunaojiandaa kufanya pragatii tukutane hapa

brobiz

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
624
Reaction score
857
Habari za mida hii wadau,

Niende moja kwa moja kwenye mada kwa wale wanaojiandaa kufanya pregatii tr 31 July tupeane uzoefu kidogo na kwa wale waliokwisha kuifanya usisite kushea experience yako.

NB: Kama hujaelewa haikuhusu
 
Back
Top Bottom