Suala sio ukubwa wa battery ila ni simu inavyotengenezwa kuwa efficient kwenye power usage.Nimependa body design yake, ila kama Rumors ni za kweli basi upande wa battery watakua wamezingua sanaa,
Miaka hii bado unacheza na battery below 3000mAh?
Kwahio mkuu waweke processor Ndogo zaidi ya iliyopita?Inategemea na processor inayokuja nayo mkuu
Ndio ila battery size matters, hasa kwa flagship ambazo zinakua na performance kubwa, pamoja na display qualitySuala sio ukubwa wa battery ila ni simu inavyotengenezwa kuwa efficient kwenye power usage.
Ila kama battery ndogo nina uhakika display haitakuwa advanced sana.
Ape wanazinguaga sana batteryNimependa body design yake, ila kama Rumors ni za kweli basi upande wa battery watakua wamezingua sanaa,
Miaka hii bado unacheza na battery below 3000mAh?
Ni tatizo, Japo wanajitahidi katika power optimazation mfano Iphone 11 Pro Max ana 3969mAh ila ina kimbiza mpka simu za 5000mAh..Ape wanazinguaga sana battery
mm nilijua unafanya uchambuzi yakinifu kumbe umekuja kuleta umbea
Ni mipango na maamuzi tu mkuu! Mfano mimi huwa na zote mbili kwa mwaka Sambamba! Yaani samsung na iPhone kwa pamoja.Dah mnatoaga wapi mkwanja wa kumiliki haya ma flagship ya hela ya kiwanja.samsung J sèries imeniganda kila nikitaka update uchumi unanishika shati
Sio mchezo inatakiwa ukwasi usiwe wa kubangaiza.Hela ya gari kabisa hapo.Ni mipango na maamuzi tu mkuu! Mfano mimi huwa na zote mbili kwa mwaka Sambamba! Yaani samsung na iPhone kwa pamoja.
Mfano now nina S10 plus na 11 pro max
Hakuna kitu kilinishinda kama kuwa na simu mbili, hata iwe smart phone na torch bado kwangu ni mzigo, mimi simu moja tu msrtphone basi.Sio mchezo inatakiwa ukwasi usiwe wa kubangaiza.Hela ya gari kabisa hapo.