Yofav
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 3,969
- 6,918
Habarini wakuu,
Nimefungua uzi huu kwa lengo la kutaka kujua wastani wa hali za wenzangu wanaoishi katika status ya u-single hasa katika gharama zetu za kujimudu kimaisha zipo vipi? Kwa mfano katika siku mtu unatumia wastani wa gharama kiasi gani katika kula, Vocha na Usafiri?
Kwa mfano mimi hapa wastani kwa siku natumia Tsh. 5000 katika kula, Mara chache inaweza kupungua na marachache inaweza kuzidi pia, Mimi asubuhi huwa sinaga utaratibu wa kupata kifungua kinywa hivyo sanasana hula mchana na usiku pekee na mara nyingi nakula vyakula vya migahawa maana kupika kidogo mimi mvivu.
Hela ya bando kila siku ni Tsh.2100 kwahiyo kwa siku nzima mimi wastani wangu wa matumizi ni Tsh. 8000/=
Wewe je?