Tunaoingia kazini usiku pool-table tucheze saa ngapi?

Polisi jamii

JF-Expert Member
Mar 22, 2013
2,604
1,380
Napinga kauli ya viongozi kuwa pool-table lichezwe jioni kwa kisingizio kuwa watu hawafanyi kazi vipi wale wasiyocheza pool-table na hawaendi kazini? Na je siye tunaofanya kazi za usiku tu asubuhi kwanini tuzuiwe kucheza pool au kunywa hata bia inamaana hamjui kuwa uchumi utadorora kuzuia raia asitumie pesa?
 
Ukiona hivyo ujue kazi zenu za usiku hazitambuliki!hakuna watu wanaofanya kazi usiku tuuuu,ila shift za usiku,na shift mwisho ni wiki hivyo wiki ya kufanya kazi usiku usicheze pool table mchana,kwanza unatakiwa ulale mchana ili usiku upige kazi!!!!
 
ukiona hivyo ujue kazi zenu za usiku hazitambuliki!hakuna watu wanaofanya kazi usiku tuuuu,ila shift za usiku,na shift mwisho ni wiki hivyo wiki ya kufanya kazi usiku usicheze pool table mchana,kwanza unatakiwa ulale mchana ili usiku upige kazi!!!!
Ina maana kazi za usiku serikali hawazijui kabisaa
 
ila hata hivyo hii kitu haijakaa sawa...hapa kazi tu...na wale vijana wanaosimamia pool table ile ndio kazi yao,hivyo walitakiwa waachwe wapige kazi yao kutekeleza kauli mbiu ya hapa kazi tu
 
inamaana kazi za usiku serikali hawazijui kabisaa
dizaini hawazitambui vinginevyo wangekuwa wanazitambua na kuzikubali wangewathamini na kukumbuka haki za hao wafanyao kazi za usiku,ila ni kazi gani inayotambulika kisheria inayofanywa na mfanyakazi usiku tuuuuuuuu tar 1 mpaka 30??
 
ila hata hivyo hii kitu haijakaa sawa...hapa kazi tu...na wale vijana wanaosimamia pool table ile ndio kazi yao,hivyo walitakiwa waachwe wapige kazi yao kutekeleza kauli mbiu ya hapa kazi tu
hapo ndipo panaponichanganya pool table ni ajira ya mtu halafu unaenda kuizuia si ndo mwanzo wakuwa kibaka
 
Tatizo la sisi wa tz tukipewa utaratibu mzuri au wenye manufaa huwa tunatafuta sababu ndogo ndogo zisizo na maaana na ulazima wowote
Ili ionekane tu serekali haiwatendei haki rai wake
Ctaona ajabu ukawa wakalivaaa na kuwa lao
 
Back
Top Bottom