voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,944
Kwani sheria gani imewazuia kwa sasa kuja kuwekeza nchini mwao?Sijui Tanzania tunaogopa nin kuruhusu uraia Pacha, Watanzania wengi huko ughaibuni wanataman kuwekeza Nchini kwao wengine wana vipaji vya mpira, Music, Riadha n.k wanataman wachezee kwenye nchi yao Tanzania..
Tunakwama wapi km Taifa kuruhusu uraia pacha, Unahisi nin kikwazo kwenye hili?
Matundu ya vyoo tu bado yanaisumbua serikali.
Nyinyi mnataka kutanua wigo wa upigaji.
Kwamba unaiba Tanzania halafu unaficha Trinidad & Tobago na sheria inakulinda!