Tunaogopa kupelekwa the Hague-ZEC

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Kama WaPemba wangenyamaza kimya kauli hii isingewahi kusikika miongoni mwa WaTanzania wenye dhamana ,haya ni maendeleo ambayo ni ya kuigwa katika kuilinda haki,tusikubali kuonewa wala kunyanyaswa na woga ni adui wa haki.
Nilitoa onyo hapa kuwa CCM wafanye wafanyayo na hakuna wa kuwakataza maana kuna macho yanawatizama na kukusanya ushahidi ,inaonekana hawa wameshituka na mapema na kujiweka kando na mapema kabisa,haya mpira unaendela.Ingawa Karume aliruka mwanzo kwa kutoa ruhusa watu wote wapewe vitambulisho na kila wanachohitaji sasa sijui alimrushia nani mpira ? Kaazi kweli kweli. :D

ZEC pleads for smooth run-up to 2010 election
The Zanzibar Electoral Commission warned yesterday that the factors that crippled the voter registration exercise in Pemba had to be dealt with conclusively or the general election set for next year would be chaotic.
Speaking to journalists, ZEC Director Salum Kassim Ali called on the authorities concerned to sort out problems surrounding the exercise before embarking on the second and third rounds of the exercise.
He made the remarks shortly after meeting government leaders, mainly regional and district commissioners, in Pemba.
"As a commission, we do not want to make decisions that would shake national security because we are not ready to be charged at International Criminal Court at The Hague," he said.
He warned that the commission would not be ready to see unnecessary shortcomings leading to public complaints when the registration exercise resumes "lest we witness uncontrollable situations like the tragic events witnessed in Kenya after the 2007 general election.
The voters' registration exercise in Pemba was put off following disputes regarding Zanzibar residential identity cards.
Trouble started after opposition parties demanded that the process has been interfered with by the ruling CCM, making only a few people access the cards.
The ZEC director said CCM described the process as fine, while the opposition expressed serious reservations.
Meanwhile, the European Union Head of Missions in the country have said they carried out thorough research before issuing their statement concerning the "flawed elements" in the voters' registration process in Zanzibar.
An EU delegation led by Swedish Ambassador Staffan Herrstrom made the remarks during a meeting with President Amani Abeid Karume at the State House in Zanzibar yesterday.
Foreign Affairs and International Cooperation Minister Bernard Membe, who attended the meeting, told journalists that the delegation told President Karume that they had witnessed weaknesses in the issuance of the IDs "which ought to be worked out".Na Jumuia ya Afrika ya mashariki imesema itaifukuza Tanzania katika Jumuia hiyo ikiwa mambo yatavurugika,hapa inaonekana kupevuka kwa kutooneana haya.Kwenye gazeti hawaliandiki maana kuambiwa utafukuzwa inaonyesha tayari umeshadharauliwa ,hivyo magazeti yetu yanaendelea kuficha aibu hii.

"There are so many youths who have been denied Zanzibar residential IDs and for this reason we (CUF) insist that the exercise be suspended until the anomalies are fully addressed," he said.


Hongera WaPemba kwa msimamo wenu ,hii ni changamoto kwa WaTanzania wote popote pale walipo kuwaunga mkono na kufuata msimamo wenu katika kuikomboa Tanzania toka kwa mkoloni Sultani Nduli CCM.(Chama Cha Machinjachinja)
 
ZEC wanafiki, waongo, wazandiki na wababaishaji tu!!
Wanatoa kauli hizi baada ya CUF kuwakalia kooni na EU kuingilia kati, wana wa Plz wafadhili baada ya Hamza kutoa ujuba na kuambiwa "ashike adabu yake" maana serikali zote SMT & SMZ ni masikini na hazina uwezo wa kuendesha uchaguzi kwa pesa zao bila msaada wa wafadhili, na kama wangeamua ku withdraw michango yao, wasingefanya hiyo 'show' yao na wangetafuta wa kumpiga virungu na kummwagia maji ya pilipili.
Chakushangaza zaidi ZEC wanatoa kauli hizo baada ya kukutana na viongozi wa chama tawala z'bar na kupewa mbinu na mikakati mipya ya kuiba, wanamdanganya nani,wala wasiogope kupelekwa "the Hague" maana hapa hapa mahakama tunazo na akina "Massati" wapo watawatoa tu, ungizingatia huko kwetu jaji anachaguliwa "kwa Raju" huko, wakati muda wake wa utumishi umepita. Wadanganyeni hao hao "vifuu tundu" wenzenu, sisi akina Junius, hamna jipya la kutuonyesha tunajuwa utandu na ukoko.Nyooooni!!!
 
Kama WaPemba wangenyamaza kimya kauli hii isingewahi kusikika miongoni mwa WaTanzania wenye dhamana ,haya ni maendeleo ambayo ni ya kuigwa katika kuilinda haki,tusikubali kuonewa wala kunyanyaswa na woga ni adui wa haki.
.

Hakika hongereni sana kwani sote twajua wazi kuwa haki aiombwi bali inadaiwa.

Watanganyika fateni mfano huo,acheni woga
 
Back
Top Bottom