Sidhani kama watu wanaogopa kufa kwasababu ya watu au vitu watakavyo viacha. Personally as much as ningependa kuishi kwa muda mrefu sana, ningependa kufa kabla ya immediate family yangu.
Another thing watu huwa tunaogopa kufa kwasababu ya the fear of the unknown and the thought that we havent done all we think we need to do in this world. Kama mtu ame sort out hayo mambo moyoni/akilini mwake basi sioni sababu ya kuogopa kufa.
Nilifikiri dini zinafanya kazi mzuri ya kutuhabarisha kuwa tukifa tunakwenda wapi (mbinguni au motoni). Au unavyozungumzia "the unknown" una maana gani?
Nadhani tunaogopa hichohicho tunachofundishwa na dini kuwa ukifa unaweza kwenda motoni au ahera!
Nadhani tunaogopa hichohicho tunachofundishwa na dini kuwa ukifa unaweza kwenda motoni au ahera!
...mbaya zaidi kukosa nafasi ya kurudi nyuma kuja kutubia iwapo ulikuwa huamini amini!
To answer your question, even if everything in the world were to collapse and die the same day, if I will have personal issues to sort within myself about my life, bado nitaogopa.
Hahaha. Peace of mind sio kuhusu madeni (kwanza sina deni la mtu). Its a question whether I will be satisfied with the life that I've led until that time.
I think its human nature to be ambitious because it gives us a reason to wake up everymorning. And as long as one giving 110% trying to achieve these ambitions, zisipofanyikiwa atasema nilijaribu kwa moyo wangu wote na roho itakuwa na amani.
To answer your question. For me its a mixture of both. Fulfilling needs and wants while doing something that actually matters. I would like to attain the Self-Actualization stage as Maslow put it in his hierachy of needs. But for now, Im not ready to die.
There you go! The least we can do is to try.... "get rich or die trying" kinda way...lol!
In my opinion, nobody should be ready to die. Inabidi tubanane humu humu Duniani, trying hard to fill the bucket of our ambitions. The thing is, while some people are sweating hard to feel their buckets, others are busy punching it to let the "goodies" leak out.