Tunaofunga Kwaresma hii tukutane hapa

Sasa alishindwa kuelewa nini huyo jamaa? hahaha, na kukurekebisha, si napenda bali nilikuwa nakunywa ila nashukuru kabla hata ya kwaresma nilishapiga hatua nzuri tu kuelekea kuacha au kupunguza kwa kiasi kikubwa na kwaresma hii itakuwa ni kukazia tu msimamo.
Nimeuliza kwa sababu huwa mnasema hakuna ubaya wowote kunywa pombe, yaani pombe ni kinywaji kama soda tu ndio maana nikauliza kwa nini uache kunywa kipindi cha kwaresma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom