Tunaofunga Kwaresma hii tukutane hapa

Leo napiga nyeto kwa mara ya mwishooo! Na naamini kabisa kwasababu ya huu mfungo ntapata advantage ya kuacha. Mwenyezi Mungu akanitakase na kunifanya kiumbe kipya Ameen!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena vyema!
Niwatakie Kwaresima njema wote tutaonana after Easter.

Muombe Mungu ufunge kwa maombi hata kama ni kushukuru tu sio lazma iwe shida au Tatizo.

Punguza matumiz ya ile anasa unayoipenda sana ikiwezekana iache kabisa...

Jitahid kuweza kutofautisha ushindaji na njaa na kufunga, Pia usigeuze kwaresima kama diet plan yako hilo halitakua lengo la kwaresima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kristu alifunga siku arobaini na huo ndio mfano wa kwanza thabiti ambao umefuatwa. Hakuna aliyekaa kwa firkra zake binafsi akaitunga

Kingine haukatazwi kufunga katika siku za kawaida. Mfano kwa wakatholiki kuna novena ambayo mtu huweza kuisali na kufunga kwa ajili ya lolote kwa siku yoyote ili

Kumbuka Kipindi hiki ni cha kutafakari kwa kina kuhusu state ya kiroho, mahusiano na Mungu na njia aliyoitumia kristu kutukomboa.
Ni kweli kabisa YESU alifunga siku 40 lakini
Je!kufunga kwake kulikuwa na makusudi yapi???

Na wapi YESU aliruhusu tukumbuke mateso yake wakati yeye mwenyewe aliwaambia Watu msinililie Mimi Bali lilieni nafsi zenu

Mahusiano na MUNGU hutafakaliwa kila siku maana hatujui siku wala saa ya kuja kwa mwana wa Adam
 
Mkuu naomba unisome kuelewa na sipo hapa kukubadili mtazamo wako kuona kitu ni negative au positive ila kuijua kweli kama ilivyo

Tunakumbuka mateso ya kristu kama njia ya kujitafakari njia zetu. Kupotoka kwetu na kafara aliyoitoa kwa ukombozi wetu. Kumrudia Mungu na kuomba toba ya kweli. Hatukumbuki ili kukumbuka tu

Ndio maana kwaresma huanza kwa jumatano ya majivu. Hii ni ishara ya toba ya enzi na enzi hivyo hakuna kitu katika kwaresma kilitungwa tu kutoka kichwani tu kama watu wanavyoaminishwa
 
nawatakia mfungo mwema ndugu zangu, kwaresma hii Yesu akaonekane katika familia zetu na kazi zetu
 
Kufunga sio lazima kuacha kula wandugu, unaweza kufunga kwa kuacha kufanya chochote ulichokizoea na unakipenda sana ambacho unajua hakimpendezi Mungu wetu (hope mnamjua).

Na hali hii ngumu mtu asijeamua kubana matumizi ya msosi kwa kisingizio cha kufunga, hiyo haitakuwa kwaresma, kufunga kwa mkristu sio kufunga kwa mazoea, unafunga kula tu, NO. Funga kwa kuacha kile unachokipenda sana na kitakutoa jasho kweli kukiacha, huo ndio mfungo.

Vitu kama kubeti, kutoa lugha za hovyo kwa wengine (matusi), kusengenya/ umbea, kuna vitu vingi km hivyo ambavyo tumevizoea sana ndio vyakuacha.

Kwaresma ni kubadilika mpaka jirani yako aone mfano toka kwako, sio kuacha kula mchana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una andiko lolote kusindikiza hayo uliyoyaandika hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sababu anapenda sana pombe
Sasa alishindwa kuelewa nini huyo jamaa? hahaha, na kukurekebisha, sio napenda bali nilikuwa nakunywa sana ila nashukuru kabla hata ya kwaresma nilishapiga hatua nzuri tu kuelekea kuacha au kupunguza kwa kiasi kikubwa na kwaresma hii itakuwa ni kukazia tu msimamo.
 
Leo napiga nyeto kwa mara ya mwishooo! Na naamini kabisa kwasababu ya huu mfungo ntapata advantage ya kuacha. Mwenyezi Mungu akanitakase na kunifanya kiumbe kipya Ameen!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh.. usirudi nyuma aisee, kaa mbali na mazingira yanayokufanya utamani kufanya hicho kitendo. jitahidi kuwa bize zaidi usikae idle
 
Ni vizuri kutafakari na kufunga hii kwaresma lakini lazima tujitofautishe na waislamu kwamba kuacha dhambi ni wakati wa mfungo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Suala la kuacha dhambi sio suala la dini ni wewe mwenyewe na moyo wako tu, acha upuuzi. Hudhani kwanin maras wazee wa peace ni watu Safi kiimani kuliko wew mfia dini na wala hawamwabudu unayemwabudu wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufunga sio lazima kuacha kula wandugu, unaweza kufunga kwa kuacha kufanya chochote ulichokizoea na unakipenda sana ambacho unajua hakimpendezi Mungu wetu (hope mnamjua).

Na hali hii ngumu mtu asijeamua kubana matumizi ya msosi kwa kisingizio cha kufunga, hiyo haitakuwa kwaresma, kufunga kwa mkristu sio kufunga kwa mazoea, unafunga kula tu, NO. Funga kwa kuacha kile unachokipenda sana na kitakutoa jasho kweli kukiacha, huo ndio mfungo.

Vitu kama kubeti, kutoa lugha za hovyo kwa wengine (matusi), kusengenya/ umbea, kuna vitu vingi km hivyo ambavyo tumevizoea sana ndio vyakuacha.

Kwaresma ni kubadilika mpaka jirani yako aone mfano toka kwako, sio kuacha kula mchana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom