Unaweza kusema aidha shirika halina hela kulipa mafao au haipo nia ya kulipa watu stahili zao.
Ukifika ofisi za NSSF wafanyakazi wanachojua ni kukupiga tarehe tuu, wakidai kila kitu kinashughulikiwa makao makuu ya NSSF, ukisikia jambo lako linashughulikiwa DSM basi ni kama umeambiwa haulipwi.
Hawajali kabisa kwamba pesa unayoidai ndio mbadala wa mshahara wako baada ya kupoteza kazi, ndio ada ya watoto na ndio chakula cha kwa familia.
Inafika wakati mtu unaanza kuuza samani na asset mbalimbali ulizonazo kulipa ada za watoto huku pesa yako iko NSSF inaudhi sana.
Tuliopoteza ajira Tanzania ni kundi la jamii tuonateseka sana kipindi hiki, inafika wakati hata nauli ya kwenda kufuatilia malipo kidogo inakosekana.
NSSF TULIPENI PESA ZETU, ACHENI KUTUTESA.