Tunaoenda Moshi leo Tar 24

Tuko blocked karibu na Mlandizi. Kuna foleni ya kufa mtu. Hatujui kama ni Ajali au nini. Kuna foleni ya gari ndogo zaidi ya kilometa 2

unaharibu sifa za kina mangi aisee. Kumbe we wa kule?
 
JF pia ya wachagga
 
Nipo uhuru park hapa moshi mjini kwakweli nawapongeza manispaa kuikarabati hii bustani hapa ,mnaokuja piteni hapa muone bustani na mandhari nzuri ya huu mji na park kubwa ya kupendeza.
 
Mi nipo Arusha stend magari ya Moshi hakuna kabisa likitokea ni kugombania íla tutakuja tu!
 
Nipo uhuru park hapa moshi mjini kwakweli nawapongeza manispaa kuikarabati hii bustani hapa ,mnaokuja piteni hapa muone bustani na mandhari nzuri ya huu mji na park kubwa ya kupendeza.
Thanx mkuu..tutajitahidi kufika hapo. Usisahau pia kutembelea jimbo la Moshi Vijijini uone mambo mazuri aliyoyafanya Chami mbunge wa CCM
 
Tuko blocked karibu na Mlandizi. Kuna foleni ya kufa mtu. Hatujui kama ni Ajali au nini. Kuna foleni ya gari ndogo zaidi ya kilometa 2

Ita CCM wakurushe na helikopta juu ya hiyo foleni.
 
Nimeshafika mkuu.V8 ni sawa tu na helikopta

hiyo imprest unakwenda kutumia wapi hapo moshi? La liga au Pub Alberto,

ohhh, nimesahau nenda Onyonya Okunonze pale Kiboriloni
 
Hahaha..kumbe na wewe ni mtaalam wa maeneo ya huku? Laliga kwa vijana, nimeshaupita huo umri.
 
Tuko blocked karibu na Mlandizi. Kuna foleni ya kufa mtu. Hatujui kama ni Ajali au nini. Kuna foleni ya gari ndogo zaidi ya kilometa 2

Kumbe ww mangi meza duhhh ndo maana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…