tidav JF-Expert Member Joined Mar 31, 2013 Posts 262 Reaction score 40 May 21, 2016 #1 Wadau wenye mzigo kiasi chochote tunanunua. Tuko nyerere road lete sample kabla haujaleta mzigo ili kuondoa usumbufu. 0716300776
Wadau wenye mzigo kiasi chochote tunanunua. Tuko nyerere road lete sample kabla haujaleta mzigo ili kuondoa usumbufu. 0716300776
N Ninaweza Platinum Member Joined Dec 14, 2010 Posts 14,430 Reaction score 9,889 May 21, 2016 #2 Weka bei bayana otherwise hakuna atakaye jipendekeza kukutafuta bila kujua bei. Kumbuka wenzako wanapita kwenye majumba ya wakilima kabisa the
Weka bei bayana otherwise hakuna atakaye jipendekeza kukutafuta bila kujua bei. Kumbuka wenzako wanapita kwenye majumba ya wakilima kabisa the
Smt016 JF-Expert Member Joined Jan 11, 2016 Posts 3,570 Reaction score 5,251 May 21, 2016 #3 tidav said: Wadau wenye mzigo kiasi chochote tunanunua. Tuko nyerere road lete sample kabla haujaleta mzigo ili kuondoa usumbufu. 0716300776 Click to expand... Weka bei
tidav said: Wadau wenye mzigo kiasi chochote tunanunua. Tuko nyerere road lete sample kabla haujaleta mzigo ili kuondoa usumbufu. 0716300776 Click to expand... Weka bei
tidav JF-Expert Member Joined Mar 31, 2013 Posts 262 Reaction score 40 May 21, 2016 Thread starter #4 Bei inatofautiana mkuu kutokana na quality ila inaanza na 2000 na kuendelea mapaka 3000 per kg
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,578 Reaction score 28,701 May 21, 2016 #5 tidav said: Bei inatofautiana mkuu kutokana na quality ila inaanza na 2000 na kuendelea mapaka 3000 per kg Click to expand... Mh Kwa bei hio, ngoja nibaki na ufuta wangu tu, bora niwauzie madalali wanaonunua shambani Utete kwa Tshs 4800
tidav said: Bei inatofautiana mkuu kutokana na quality ila inaanza na 2000 na kuendelea mapaka 3000 per kg Click to expand... Mh Kwa bei hio, ngoja nibaki na ufuta wangu tu, bora niwauzie madalali wanaonunua shambani Utete kwa Tshs 4800
tidav JF-Expert Member Joined Mar 31, 2013 Posts 262 Reaction score 40 May 21, 2016 Thread starter #6 Hao madalali labda kama wanahifazi huo mzigo bei hiyo sizani lakini ni soko hulia uanaweza ila sisi tunapokea mzigo kutoka mikoa mingi kwa sasa kwa bei hiyo
Hao madalali labda kama wanahifazi huo mzigo bei hiyo sizani lakini ni soko hulia uanaweza ila sisi tunapokea mzigo kutoka mikoa mingi kwa sasa kwa bei hiyo