kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,870
- 7,752
Hebu jamani tuelimisheni. kuna hizi outlets za kiajabuajabu watu wanazunguka mtaani na speaker wanatangaza 'tunanunua noti chakavu na dola' kawaida wako wawili na kwa hakika ni machinga. leo nimepita eneo la shule ya uhuru nimekuta hiyo biashara inatangazwa. hebu wanaoelewa hiyo biashara watujuze maana kuna jamaa wamenijuza eti hizo ni outlets za madawa ya kulevya sikuamini.