Da hakika Mwema kaharibu Jeshi,sasa hivi ni kweli vyeo na post zinatolewa kwa ukabila na kujuana, Sirro na Matei wote ni watu wa musoma,siro akiwa mzanaki wa kiabakari na matei ni mkurya wa migungani wilaya ya Bunda,hawa watu ni watendaji wazuri sana na wanafuata taratibu zoote na sheria za Jeshi la polisi! ikumbukwe kuwa baada ya Lema(CHADEMA) kushinda uchaguzi arusha mjini Matei alihamishwa kwani alikataa uchakachuaji usifanyike kwani ungeleta umwagaji damu na yy km RPC angewajibika. Vivo hivo kwa sirro nako alishinda Wenje(CHADEMA) na alikataa pia uchakachuaji usifanyike kwa kuwa alijua fika asilimia kubwa ya watu walioko mwanza ni wakurya na hawana mchezo akisema nakukata panga anakata kweli hana muda wa kuremba, na walikuwa tayari wamejipanga kwa hilo! SS ccm baada ya kuona hivo,walishindwa kumuhamisha Sirro Mwanza kwani alikuwa na miezi kama mitano hivi tangu ahamishiwe Mwanza akitokea RPC Tanga! Hali km hii ilimtokea Venance Tossi alipopelekwa Kilimanjaro kuwa RPC haikuchukua muda baada ya kumuumbua mwenyekiti wa ccm mkoa/wilaya(niko tayari kusahihishwa) akihusika katika ujambazi,wakaona huyu atatuharibia,wakampeleka Kagera,huko vilevile akambana mwenyekiti wa ccm mkoa,wakaona aaah! sasa huyu dawa ni kumpandisha cheo ili arudi makao makuu anatuharibia,na ndivo ilivokuwa!
Haihitaji elimu ya darasa la 7 kujua Mwema ni mdini na mkabila angalia kwa mfano RPC Masawe (mchaga) alivo bomu na kuharibu Tarime bado anampeleka Kuwa RPC Tanga,na aliyekuwa Tanga km RPC bwana SABAS (mchaga) kampeleka Manyara,pia kampeleka Diwan Athuman Msuya (muislam na mpare) kuwa RPC Shinyanga ambako inasemekana hana mahusiano mazuri na maofisa,maaskari na wananchi. Hayo ni machace tu yaan ni hakuna kitu
Mbaya zaidi kuna mchaga mwenzake anaitwa Neven Mashayo,huyu alikuwa Chief of Administration makao makuu juzi kati kapokea Rushwa ya shilingi milioni moja na kumpeleka askari mmoja kusomea nyota moja,hizo pesa ziliwekwa kwenye akaunti yake crdb,ilivobainika uchunguzi ukafanyika wa kipolisi na kukutwa ni kweli,alichokifanya Mwema kumlinda ni kumbadilisha hiyo post na kuwa mkuu wa idara ya tathimi na ufuatiliaji ndani ya jeshi! Sasa hapo mnasema huyo ni IGP? hayo machace ni kero tupu,ukienda kwa wakuu wapolisi wa vituo(OCS) na wakuu wa polisi wa wilaya wa upelelezi (OC CID)utakuta wengi ni wachaga au wana uhusiano wa karibu naye!
Mungu ibariki Tanzania