Nonda si kweli kushindwa kuungana kwa wapinzani kunawapa nguvu ccm,maana ni bora kuwepo wapinzani wachache wenye nia ya kweli ya kulitumikia taifa hili,ubora wa jeshi haupimwi kwa wingi wake bali uchache wenye nia ya kweli...
Saa ya ukombozi ni sasa
Nonda si kweli kushindwa kuungana kwa wapinzani kunawapa nguvu ccm,maana ni bora kuwepo wapinzani wachache wenye nia ya kweli ya kulitumikia taifa hili,ubora wa jeshi haupimwi kwa wingi wake bali uchache wenye nia ya kweli...
Saa ya ukombozi ni sasa
Ni miezi miwili imepita watanzania lazima mtaanza kumkumbuka DR.Slaa mtu makini na aliyekuwa na nia ya dhali ya kuibalisha tanzania ki uongozi na kuwakomboa ninyi kwenye wimbi la umaskini na kuporwa raslimali za nchi yenu.
Leo yote aliyoyasema wakati wa kampeni ndiyo hayo hayo yanatokea ni kama alikuwa amefuniliwa na mwenyezi mungu kuja kutuokoa sisi watu wake, leo hii mnaona tatizo kubwa mno la uongozi wa nchi yetu. Huhitaji elimu hata moja kujua kwamba tatizo hili sasa ni sugu na lilipofikia pahala halina matibabu (Donda ndugu), viongozi wanakataa kuwajibika hata kwenye makosa ambayo yapo wazi wazi ya kiutendaji na kibaya zaidi hakuna wa kuwawajibisha.
Hivi tunaenda wapi? kwa mfano: tulio la Juzi la Mabomu waziri kwenye dhamana ya Ulinzi anasema waziwazi hatawajibika, na wakati huo huo waziri mwenye dhamana na nishati na madini naye anakurupuka na kusema mgawo wa umeme Tanzania hauishi hadi 2033 hivi jamani hii nchi ina viongozi kweli? nchi yenye madini, gesi asilia na hadi uranium unasema mgawo mpaka 2033 na bado upo madarakani?
Haya mengine ndiyo simanzi zaidi yaani watu zaidi ya 30 wanakufa, mbunge anatoa hoja kutaka jambo hili kuongelewa as emergence katika bunge, hoja inapanguliwa - sasa emergency katika taifa hili ni ipi? kumlipa dowans?
Tutamkumbuka DR. Slaa kwa sababu maisha ya mtanzania yatazidi kuwa magumu na yasiyo na matumaini kabisa.
Mkuu,Kwenye kafara unamaanisha nini mkuu?
CCM hawawezi kukubali vyama vya upinzani waungane kwa hiyo watatumia njia yeyote kuwarubuni...cuf ilionyesha dalili ya kutumika 2010.
Wapinzani wa kweli ni wananchi wachukia ufisadi na wapenda maendeleo ya kweli na haki. Ndio wapiga kura... naamini wengi walifanya kazi yao 2010 BUT NEC imefanya mambo yake.
Nani wa kulaumiwa?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...lahi-ya-taifa-they-are-just-another-tool.htmlNonda japo maneno yako ni ya msingi na yana ukweli ndani yake lakini maelezo yako yana angalia upande mmoja wa shilingi. Umeongelea faida ya vyama kuungana lakini si hasara yake.
Mimi nadhani solution ni kuimarisha vyama vyetu viwe competitive. Hiyo inaanza na vyama hivyo kuwa na uongozi makini na wenye vision. Vyama vingi vya upinzani havi tumii fursa za kujiendeleza na kujiongezea umaarufu. Angalia kama mabomu ya Gongo la Mboto. Ni vyama vingapi vya upinzani vimeonyesha leadership? Vingapi vimetoa matamshi? Vingapi vime kuwa proactive na kujaribu kusaidia waathirika iwe kwa hali au mali?
Wengi wanaona CHADEMA watashinda 2015, sasa nani katika Chadema looks presidential material kama Dr. unamtoa hesabuni?As much as I respect Dr. Slaa I don't think he will be the leader of changes in Tanzania. Sisemi kwamba hana nafasi yake. La hasha. Ila kwangu mimi naona ni mtu mwingine kabisa ambae ata kuja kuongoza ukombozi wa kweli. Si vibaya lakini kwa sababu hata kupigania uhuru hakuanza Nyerere japo historia inaonyesha yeye ndiyo kiongozi wa mkakati wa kudai uhuru.
Mbalinga.Pia anapaswa kujua kuwa vyama kusimamisha mgombea mmoja tukiwa na tume hii hii ya uchaguzi isingesaidia kitu
udini
Nonda si kweli kushindwa kuungana kwa wapinzani kunawapa nguvu ccm,maana ni bora kuwepo wapinzani wachache wenye nia ya kweli ya kulitumikia taifa hili,ubora wa jeshi haupimwi kwa wingi wake bali uchache wenye nia ya kweli...
Saa ya ukombozi ni sasa
Wakati tunamkumbuka Dr.Slaa tusisahau kushindwa kwa Upinzani kushirikiana na kumsimamisha mgombea mmoja kwa ajili ya kuunganisha nguvu kuitoa CCM ndiko kunakoifanya CCM kuwa na jeuri waliyonayo na watakayokuwanayo kwa muda mrefu.
Usisahau kuwa nchi nyengine wananchi wake wanapochukizwa na watawala na pale maji yanapowafika shingoni huamua kuwawajibisha wasiowajibika. Unamkumbuka Ben Ali? Mubarak?.....sisi bado tunalinda uchovu wetu...amani na utulivu.
Lakini usisahau pia kuwa Mbowe alijua kuwa si presidential candidate makini, kwa hiyo ujio wa Dr. Slaa ulikuwa ni chaguo zuri lakini pia ilikuwa ni kumtoa kafara. Pia uamuzi wa kukurupuka.Hata hivyo hili lilinogesha uchaguzi wa Rais.
Pia Dr. Slaa alitoa tamko ambalo naona kama "atakula matamshi yake" basi anaweza kuwa branded kiaina. Alisema anagombea urais mara moja tu. Sijui kwa nini alitoa kauli hii.
well, kama unavyosema hapa kweli tunamkumbuka Dr. Slaa.
Jee kuna anaekumbuka Prof. Lipumba alisema nini kuhusu kuichagua CCM?
Peck.kuungana upinzani sio suluhisho, kwani inawezekana kwa kuungana upinzani wengine wakrudi ccm. kila chama kisimame chenyewe na sera zake ndizo zitakazokipelekea kuchukua hatamu.
kama yapo aliyosema li pumba naomba utujuze kama tulivyojuzwa ya Dr Slaa.
Peckkila chama kisimame chenyewe na sera zake ndizo zitakazokipelekea kuchukua hatamu.
kama yapo aliyosema li pumba naomba utujuze kama tulivyojuzwa ya Dr Slaa.
Mkuu,Mkuu chukulia mfano wa mchakato wa Chadema kuwa chama kikuu cha upinzani Bungeni na kuunda baraza kivuli. Umeona jinsi walivyo kuwa wana sumbuliwa na vyama vingine? Umeona ilivyo kuwa ngumu kuvi shirikisha? Hapo ni kwenye kambi ya upinzani Bungeni tu je inge kuwa ni swala la wao kuunda serikali inge kuaje? Kama mkuu mmoja alivyo sema swala si kuungana tu bali kuangalia una ungana na nani. Hauwezi kuungana na mtu for the sake of it. Kwa mfano sasa unge shauri Chadema waungane na CUF?
Change takes time. Factors nyingi sana zinaingia kwenye change. Sisi watu hatupa tayari kwa mabadiliko laa sivyo 2010 kinge eleweka. Kwa sababu haki kueleweka it shows we are not ready for change. Badp tupo kwenye early stage ya kuongea tu na si kutenda. By the time tukiwa tayari kutenda I assure you haita kuwa kumuingiza Slaa ikulu.
Mkuu,Ila mkuu trust me Tanzania bado sana. We imagine Dowans, Richmond, 2009 Mbagala, madai ya uchaguzi kuchakachuliwa, Arusha, juzi Gongo la Mboto. Yote haya ndani ya miaka 6 wananchi hatujafanya chochote ndiyo una taka kuniaminisha kwamba sisi ni jamii iliyo tayari kwa mabadiliko? Vyote hivyo vina tokea tungekua nchi nyingine si tungesha anza kuandamana?
ni miezi miwili imepita watanzania lazima mtaanza kumkumbuka dr.slaa mtu makini na aliyekuwa na nia ya dhali ya kuibalisha tanzania ki uongozi na kuwakomboa ninyi kwenye wimbi la umaskini na kuporwa raslimali za nchi yenu.
Leo yote aliyoyasema wakati wa kampeni ndiyo hayo hayo yanatokea ni kama alikuwa amefuniliwa na mwenyezi mungu kuja kutuokoa sisi watu wake, leo hii mnaona tatizo kubwa mno la uongozi wa nchi yetu. Huhitaji elimu hata moja kujua kwamba tatizo hili sasa ni sugu na lilipofikia pahala halina matibabu (donda ndugu), viongozi wanakataa kuwajibika hata kwenye makosa ambayo yapo wazi wazi ya kiutendaji na kibaya zaidi hakuna wa kuwawajibisha.
Hivi tunaenda wapi? Kwa mfano: Tulio la juzi la mabomu waziri kwenye dhamana ya ulinzi anasema waziwazi hatawajibika, na wakati huo huo waziri mwenye dhamana na nishati na madini naye anakurupuka na kusema mgawo wa umeme tanzania hauishi hadi 2033 hivi jamani hii nchi ina viongozi kweli? Nchi yenye madini, gesi asilia na hadi uranium unasema mgawo mpaka 2033 na bado upo madarakani?
Haya mengine ndiyo simanzi zaidi yaani watu zaidi ya 30 wanakufa, mbunge anatoa hoja kutaka jambo hili kuongelewa as emergence katika bunge, hoja inapanguliwa - sasa emergency katika taifa hili ni ipi? Kumlipa dowans?
Tutamkumbuka dr. Slaa kwa sababu maisha ya mtanzania yatazidi kuwa magumu na yasiyo na matumaini kabisa.
hakuna hata anayemkumbuka slaa labda wewe tu na wenzio ambao mmepinda lakini watu wote wenye akili zao zilizotulia wala hata hawamkumbuki. Lako hilo unalo babuuuu