Hizb Tahrir Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 18, 2020
- 258
- 235
Walimkuta morogoro wakampiga ya begani[emoji21]View attachment Nash Mc-Maalim Ponda.mp3Tunalaani suala la kuwekwa ndani Sheikh Ponda eti kwa waraka. Hii imekuwa ni kawaida kwa viongozi wa Kiislamu huku viongozi wa dini nyingine wakisema watakavyo hata kushawishi maandamano. Huu ni uonevu wa hali ya juu wa vyimbo vya dola kwa Waislamu
#KomeshaUkandamizajiWaKiaheriaNaUtekaji
#FreeSheikhPonda
hizb.or.tz
Wacha chukihuyu ponda wamemdekeza saana inatakiwa wampe moja nzito ya kichwa
Ni kazi yaoWavaa kobazi bhana .kwaio na nyie mna toa laana
Habari imekamilika, wewe tuMbona kama habari haijakamilika?
Mtoa mada apitie hii coment ajifunze kitu,aache udini wa kipuuzi.Viongozi wa dini wengine kwenye nyaraka zao kamwe hawakumtuhumu kwamba anachagua waluteri kuliko wakatoliki au walokole ... kwanini Ponda? ana agenda gani Ponda ... matokeo ya harakati zake ni nini ? Sasa anatuhumu kwa kuchagua wakristo baadae atashutumu kwa kuchagua waislamu wa bakwata ...Sheikh ponda hana nia nzuri niamini ni kikuambia walokole hawakubaliani na wakatoliki hata kidogo lakini huwezi kuwakuta wanatoa waraka eti hii nchi haijawahi kua na mlokole kama Rais... kwanini Ponda Issa Ponda
Sheikh Ponda anaituhumu serikari kwamba taasisi ya rais inaendekeza udini kwenye kufanya teuzi mbalimbali ... anataka pia rais awe anachagua watu kwa kuangalia dini zao ili aweke usawa JE NI KWELI RAIS ANACHAGUA KWA KUENDEKEZA MFUMO KRISTO na kama ni kweli, ina mana rais akifanya teuzi inambidi aanze kuangalia huyu ni mlokole ... huyu ni sunni ... huyu ni shia ... huyu mkatoliki ... huyu mhindu ... huyu mpagani huoni huo ni mwanzo wa chuki? Maswali haya sio yako maana anayajibu sasa hivi ndugu Sheikh Ponda
Acha matusi kijana, kwanini huwa hampendi ukweli eti!?Mtoa mada apitie hii coment ajifunze kitu,aache udini wa kipuuzi.
Sijatukana mkuu,nimesema ukweli.Acha matusi kijana, kwanini huwa hampendi ukweli eti!?
Kama mulishindwa kumuua lisu na huyu pia mutashindwahuyu ponda wamemdekeza saana inatakiwa wampe moja nzito ya kichwa
yupo mkadurumo ni suala la muda tuKama mulishindwa kumuua lisu na huyu pia mutashindwa
Inabidi wazoee kukosolewa