Kumekuwepo na zoezi la bomoabomoa kwa muda sasa ikiacha wananchi katika SIMANZI, HUZUNI, UMASKINI na huku Serikali ikifumbia macho.
Mhe. Rais sisi ndiyo tuliokuchagua na kukuweka hapo, leo hii Serikali inawavunjia wazee nyumba walizozijenga kwa miaka zaidi ya ishirini.
Hivi viwanja awalipewa na watumishi wa Serikali na tunajiuliza hao watumishi wamechukuliwa hatua gani?. Mhe. Rais tunajua sana kuwa sheria zipo lakini penye sheria pia busara hutumika, na hivyo tunakuomba sana katika suala hili BUSARA itumike.
Mhe. Rais umeshuhudia wazee wa zaidi ya miaka 90 wakitoa machozi wakati wa ubomoaji nakueleza hii ni laana na matokeo yake yanaweza kuwa mabaya sana. Hapa umeshauriwa vibaya tunakuomba ujirudi.