TUNAKUHAKIKISHIA KUMILIKI NYUMBA.

cccltd

Member
Feb 18, 2017
64
18
Jiunge katika mradi utakaokuhahakishia kumiliki nyumba yako.
Kila anayenunua KIWANJA hutarajia kujenga lakini wengi wameshindwa kwasababu mbalimbali.

CCC ltd tunakuhakikishia kumiliki nyumba yako.

**kama wewe ni mfanyakazi ,mfanyakazi Fanya yafuatayo :
Fika ofisini : Dar business complex ( machinga complex) ghorofa ya NNE.
** Chukua fomu ujaze
** jiandae kutembelea Viwanja na kufanya uchaguzi ( kila jmosi)
** rudisha fomu na vielelezo muhimu.
** Tutakupa Mkopo, wako utaanza safari ya kukamilisha ndoto yako yakumiliki Makazi.

Kumbuka : Maeneo ya miradi yetu: Kigamboni (Mwasonga,) Mwembe mdogo, Amani Gonvu, Mkwajuni na kichangani.
Mvuti na Mlamleni (Mbande) karibu na Azam Complex.

Bei : Kuanzia mil 4.8

Njoo tukuwezeshe, kwetu unahakika utamiliki nyumba yako.Usihofu kipato chako

0762781778/0674880470
 
Elezea ni kwa namna gani. How? Kusema tu utamiliki utamiliki just easy like that no body will understand and build a trust on that!

Bongo desi nyingi sana!
 
Elezea ni kwa namna gani. How? Kusema tu utamiliki utamiliki just easy like that no body will understand and build a trust on that!

Bongo desi nyingi sana!
CCC LTD,inawakaribisha Watanzania wote kwenye mradi wa uwezeshaji ktk sekta ya Makazi. Sera yetu ni kufanikisha upatikanaji wa Makazi kwa njia rahisi kwa watu wengi wa kipato cha chini kati na hata wale wenye kipato cha juu.

<Mpango wetu unawaalika wenye mahitaji yafuatayo:< *Wenye mipango ya kununua KIWANJA lakini wamekwama VIFAA VIA kuanzia ujenzi.( tutakuuzia KIWANJA na kukukopesha Matofali na cement).
* Wenye kuhitaji KIWANJA kwanza lakini hawana pesa ya kutosha( tutakukopesha KIWANJA na ukimaliza kulipa utakopeshwa VIFAA VYA ujenzi kwa awamu hadi utahamia kwako.
* Wenye ndoto ya kujenga nyumba ya aina Fulani lakini bajeti yao ni ndogo, tutatathimini jinsi ya kuwawezesha.
>* Wenye kuhitaji kununua Viwanja kwa ajili ya akiba ya baadae ya watoto tunawakaribisha tutawashauri jinsi ya kuwekeza

>√÷+-*CCC LTD , Imekuja na mpango huu baada ya utafiti na kugundua vikwazo kadhaa vinavyo zikabili familia nyingi katika harakati ya kutafuta Makazi bora :
1. Watu wengi huwachukua zaidi ya miaka 5 kukamilisha ujenzi wa nyumba baada ya kununua .
2. Watu wengi huishia kutapeliwa wakati wa ununuzi wa Viwanja visivyopimwa.
>3. Watu wengi hutumia gharama Mara mbili zaidi ya kawaida kwani huwalazimu kuishi miaka mingi kwenye nyumba za kupanga huku wakilipa pango ya nyumba na kodi ya ardhi wakati akisubiri majaliwa ya kujenga.
4.Watu wengi hupoteza matumaini ya kujenga baada ya majukumu ya kifamilia kuwazidi na kufanya KIWANJA alichonunua kuvamiwa na kuanza kuleta migogoro isiyoisha mahakamani.
5 .Watu wengi hukosa sifa za kukopesheka ktk taasisi za fedha hivyo huishia kuishi katika Makazi.

6.Familia nyingi zimeshindwa kudhibiti tabia za watoto baada ya kuishi maeneo yasiyopangiliwa kimakazi .
7.Makazi duni huchochea hali ya umasikini,ujinga na maradhi.
8.Sera za taasisi nyingi za fedha haziko rafiki na watu wenye kipato kidogo ,imekuwa vigumu kupata MIKOPO ya nyumba kama inavyonadiwa.

Hivyo basi CCC LTD, INAKUJA NA JAWABU LA MAKAZI BORA KWA NJIA RAHISI ,JIUNGE NA UWE MWANACHAMA WA WETU ,ILI UPATE KUINGIA KWENYE MKAKATI WETU WA KUWEZESHA WATANZANIA KUPATA MAKAZI BORA.

#* SIFA.
Mtanzania miaka 18 na kuendelea, Mwenye kipato ( biashara, kilimo,Ajira)
*"* Nunua Viwanja katika maeneo tuliyotenga na kuyahakiki sisi( CCC LTD)

#* Viwanja vipo maeneo ma5 tofauti kigamboni.(Mwasonga,Mwembe mdogo,Amani Gonvu, Mbutu

>Pia Mvuti(iko wilaya ya ilala,) Mbande karibu na Azam complex, nk.

# Miradi inayotarajiwa: Dodoma, kibaha,na Mkuranga.

"[HASHTAG]#Ukubwa[/HASHTAG] kuanzia: mita 20*20( sqm 400)hadi 4200sqm

>*Bei kuanzia mil 4.8

>MAWASILIANO:<
CCC LTD .
PO BOX 38509 DAR ES SALAAM./>Email:chadcreationtzgmail.com

0762781778/0674880470
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom