fanya kuja chemba tuyajenge yakeshoHuko kwenu mwezi haujaandama? Mbona unakuja na topic ngumu saa hizi za kupanga menu na mitoko ya sikukuu? Dah
Aendeleee kuisha kibachelamiaka hii.. kuoa ni sawa na kusajili kampuni..., dont get rest... its work, unatakiwa kua na goals, kpi, performance analysis etc.
kwa ushauri wangu... usioe (kama hujaoa bado)
Kwani kwenye ndoa ni ngono tu? Na unataka kutuaminisha kuwa wazee wa jamani walikuwa hawachepuki?Tatizo watu wakiingia katika uchumba basi ngono kwenda mbelee inafikia hatua mpaka wanapata mtoto/watoto kabla ya ndoa amabapo ikifikia hatua yakuwa kwenye ndoa kunakuwa hakuna jipyaa maana yoote wamishamaliza huko nyuma sasa hapa ndio mti unaanza kuchepukia kwenginee ndipo mwanzo wa migogoro namwisho wasiku hutengana so nawashauri wale walio kwenye mahusiano wajichunge sana wawahakikishe wakiingia kwenye ndoa wanaifurahiaa nakuona faraja yakuwa wanandoa tusiendekeze zinaa
Pamoja na hayo inategemeana katika mchumba wenu umemset kivipi, wanasema a woman is like an empty computer it operate according to the software, kwahiyo kama umemzoesha hivyo lazima moto uwake ndan ya houseMolembe,iko hivi,mwanamke ukimuoa anakuja na picha yake kichwani kwamba ataishi hivi,hela ya chakula utamuachia kwa siku 20000 kwa siku,mwisho wa mwezi utampa 100000 za kufanya matumizi yake kila mwezi,na hii yote ni kwa sababu amekukuta pale una nyumba yako ya kawaida 4 rooms,na kigari chako.hajui ulikopa sana mikopo kazini ndo ukavipata hivyo.sasa leo kaingia anajua ataishi maisha ya kifahari kumbe maisha ni yaleyele tu,leo dagaa,kesho maharagwe na keshokutwa mchanganyiko wa utumbo na mchicha.sasa anapoona maisha sio kama yale aliyoyategemea ndipo anapoona amekosea,analianzisha ili muachane akajaribu kwingine,
Nasikitika kumkosa yule mdogo wako...Huko kwenu mwezi haujaandama? Mbona unakuja na topic ngumu saa hizi za kupanga menu na mitoko ya sikukuu? Dah
Wewe umeoa mkuu?miaka hii.. kuoa ni sawa na kusajili kampuni..., dont get rest... its work, unatakiwa kua na goals, kpi, performance analysis etc.
kwa ushauri wangu... usioe (kama hujaoa bado)