Tunakosea sana: Uhuni ni tabia na si Kabila

Tunakosea sana: Uhuni ni tabia na si Kabila

Umalaya wa kabila unatokana na Mila na desturi za kabila Fulani. Wazaramo mambo ya vigodoro yaani Mila zao nyingi ni zinashawishi na kuruhusu ngono. Pia kuna kabila kama wajaluo mambo Mengi yanatolewa mikosi Kwa njia ya ngono. Na pia mengine hayafanyiki mpaka ngono ifanywe . Kabila Lina asilimia kubwa ya kutengeneza maadili ya wadada.
Amini babu, kawaida tunahusisha umalaya na kabila au makazi au kazi ya mwanamke. Tunakosea sana, ni dhana potofu sana.

Nina Mwanamke Mzaramo but she is Very Smart.
TUBADILIKE

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom