Tuna endelea mara zote tunapo fikilia dini zetu wakati mwanzo kabla ya wakoloni ismail na john waleo tulikua tukitumia majina asili tena yasiyo na utofauti wa kiimani na baada ya hawa wakoloni kuingia na kuleta dini tukaanza kuji tofautisha kwa dini wakati mwanzo kulikua hamna hilo napia wote tuna muita mungu na tuna amini ni watoto wa baba mmoja kwanini tuna tafuta utofauti wetu kwenye dunia yaleo je dini ndio sababu na kwanini dini zina kuwa sababu za kuto jariana au ndio mimi na wewe tuna poteza maana ya imani?