Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,363
- 139,164
Mimi mwenyewe nimeangalia nikaona kabisa mamlaka za uteuzi hazipo serious kabisa.Wana ndugu leo asubuhi kulikuwa na mahojiano mubashara pale Star TV.
Binafsi nimekataa nyumbani toka asubuhi kipindi kinaanza mpaka kimeisha nikitazama na kusikiliza kwa umakini kinachojiri!
Nimekuwa nikiamini kabisa kwamba Makonda sio mtu wa kupewa uzito na kusikilizwa kwa umakini...Lakini kwa leo nikaona ngoja nimpe uzito nisimuhukumu bure....lakini waaaaaapi kaendeleza porojo zake za kila siku
Makonda kwa historian yake inaonyesha ni mtu kwenye uwezo mdogo sana wa kufikiria kwa kina yaani sio Great Thinker. Hili linadhibitisha ya records zake za elimu na pia namna anavyo-deal na mambo. Sio zambi kuwa na uwezo mdogo lakini tatizo lake kubwa ni kutaka kujiona yeye ni Key Figure, Great Thinker na Think Tank wa nchi!!BIG NO
Anyway system wao ndio wanaona anafaa,well lakini wameshindwa kuficha umbumbumbu wa mtu wao.
Makonda wamekuwa na tuhuma lukuki na lundo lakini Massa yote matatu aliyokaa na wale madogo wa Star TV hakuna tuhuma hata moja aliyojibu zaidi ya kujificha kwenye kichaka cha madawa ya kulevya na kucheka-cheka kwa dharau
Hivi unawezaje kumpa uzito mtu anayekana hata jina lake na Baba yake mzee Bashite aliyekiri kwamba anaitwa Bashite?
Acheni Makonda atawale Dar Es Salaam acheni akiri ndogo iongoze akiri kubwa lakini utashangaza kama kauli na matendo ya Makonda utayachukulia sirious kama habari ya maana
Jioni njema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kakimbiajeeee??mwandishi: mheshimiwa ni kweli ulivamia ofisi za Clouds??
Bashite: hahahaha tumepanga kuboresha usafiri wa dar na siku za karibuni tutaanza kutengeneza barabara ya mwendokasi kutokea mbagala up to city center
Hasira ya mkizi nafuu ya mvuviWana ndugu leo asubuhi kulikuwa na mahojiano mubashara pale Star TV.
Binafsi nimekataa nyumbani toka asubuhi kipindi kinaanza mpaka kimeisha nikitazama na kusikiliza kwa umakini kinachojiri!
Nimekuwa nikiamini kabisa kwamba Makonda sio mtu wa kupewa uzito na kusikilizwa kwa umakini...Lakini kwa leo nikaona ngoja nimpe uzito nisimuhukumu bure....lakini waaaaaapi kaendeleza porojo zake za kila siku
Makonda kwa historian yake inaonyesha ni mtu kwenye uwezo mdogo sana wa kufikiria kwa kina yaani sio Great Thinker. Hili linadhibitisha ya records zake za elimu na pia namna anavyo-deal na mambo. Sio zambi kuwa na uwezo mdogo lakini tatizo lake kubwa ni kutaka kujiona yeye ni Key Figure, Great Thinker na Think Tank wa nchi!!BIG NO
Anyway system wao ndio wanaona anafaa,well lakini wameshindwa kuficha umbumbumbu wa mtu wao.
Makonda wamekuwa na tuhuma lukuki na lundo lakini Massa yote matatu aliyokaa na wale madogo wa Star TV hakuna tuhuma hata moja aliyojibu zaidi ya kujificha kwenye kichaka cha madawa ya kulevya na kucheka-cheka kwa dharau
Hivi unawezaje kumpa uzito mtu anayekana hata jina lake na Baba yake mzee Bashite aliyekiri kwamba anaitwa Bashite?
Acheni Makonda atawale Dar Es Salaam acheni akiri ndogo iongoze akiri kubwa lakini utashangaza kama kauli na matendo ya Makonda utayachukulia sirious kama habari ya maana
Jioni njema
Mimi mwenyewe nimeangalia nikaona kabisa mamlaka za uteuzi hazipo serious kabisa.
Kama mkuu wa mkoa wa Dar ndio huyu basi sina haja ya kujua kwa nini nchi yetu masikini, kwa nini rambi rambi zinatafunywa hovyo hovyo, na kwanini ukiwa na vyereheni vinne basi una kiwanda.
mwandishi: mheshimiwa ni kweli ulivamia ofisi za Clouds??
Bashite: hahahaha tumepanga kuboresha usafiri wa dar na siku za karibuni tutaanza kutengeneza barabara ya mwendokasi kutokea mbagala up to city center
Clouds ni nyumbani kwake na Hata baadhi ya askari wamepazoea cloudsmwandishi: mheshimiwa ni kweli ulivamia ofisi za Clouds??
Bashite: hahahaha tumepanga kuboresha usafiri wa dar na siku za karibuni tutaanza kutengeneza barabara ya mwendokasi kutokea mbagala up to city center
Mimi mwenyewe nimeangalia nikaona kabisa mamlaka za uteuzi hazipo serious kabisa.
Kama mkuu wa mkoa wa Dar ndio huyu basi sina haja ya kujua kwa nini nchi yetu masikini, kwa nini rambi rambi zinatafunywa hovyo hovyo, na kwanini ukiwa na vyereheni vinne basi una kiwanda.
si mchezo huyu mkolomije anamkana dingi yake asubuhi kweupe ati yeye si Bashite yeye ni Makonda are you mental??[emoji23] [emoji23] [emoji23] kakimbiajeeee??
Hakuna jipya ulioandika.Wana ndugu leo asubuhi kulikuwa na mahojiano mubashara pale Star TV.
Binafsi nimekataa nyumbani toka asubuhi kipindi kinaanza mpaka kimeisha nikitazama na kusikiliza kwa umakini kinachojiri!
Nimekuwa nikiamini kabisa kwamba Makonda sio mtu wa kupewa uzito na kusikilizwa kwa umakini...Lakini kwa leo nikaona ngoja nimpe uzito nisimuhukumu bure....lakini waaaaaapi kaendeleza porojo zake za kila siku
Makonda kwa historian yake inaonyesha ni mtu kwenye uwezo mdogo sana wa kufikiria kwa kina yaani sio Great Thinker. Hili linadhibitisha ya records zake za elimu na pia namna anavyo-deal na mambo. Sio zambi kuwa na uwezo mdogo lakini tatizo lake kubwa ni kutaka kujiona yeye ni Key Figure, Great Thinker na Think Tank wa nchi!!BIG NO
Anyway system wao ndio wanaona anafaa,well lakini wameshindwa kuficha umbumbumbu wa mtu wao.
Makonda wamekuwa na tuhuma lukuki na lundo lakini Massa yote matatu aliyokaa na wale madogo wa Star TV hakuna tuhuma hata moja aliyojibu zaidi ya kujificha kwenye kichaka cha madawa ya kulevya na kucheka-cheka kwa dharau
Hivi unawezaje kumpa uzito mtu anayekana hata jina lake na Baba yake mzee Bashite aliyekiri kwamba anaitwa Bashite?
Acheni Makonda atawale Dar Es Salaam acheni akiri ndogo iongoze akiri kubwa lakini utashangaza kama kauli na matendo ya Makonda utayachukulia sirious kama habari ya maana
Jioni njema
si mchezo huyu mkolomije anamkana dingi yake asubuhi kweupe ati yeye si Bashite yeye ni Makonda are you mental??
Wewe ni muuzaji au mtumiaji wa madawa ya kulevya?Wana ndugu leo asubuhi kulikuwa na mahojiano mubashara pale Star TV.
Binafsi nimekataa nyumbani toka asubuhi kipindi kinaanza mpaka kimeisha nikitazama na kusikiliza kwa umakini kinachojiri!
Nimekuwa nikiamini kabisa kwamba Makonda sio mtu wa kupewa uzito na kusikilizwa kwa umakini...Lakini kwa leo nikaona ngoja nimpe uzito nisimuhukumu bure....lakini waaaaaapi kaendeleza porojo zake za kila siku
Makonda kwa historian yake inaonyesha ni mtu kwenye uwezo mdogo sana wa kufikiria kwa kina yaani sio Great Thinker. Hili linadhibitisha ya records zake za elimu na pia namna anavyo-deal na mambo. Sio zambi kuwa na uwezo mdogo lakini tatizo lake kubwa ni kutaka kujiona yeye ni Key Figure, Great Thinker na Think Tank wa nchi!!BIG NO
Anyway system wao ndio wanaona anafaa,well lakini wameshindwa kuficha umbumbumbu wa mtu wao.
Makonda wamekuwa na tuhuma lukuki na lundo lakini Massa yote matatu aliyokaa na wale madogo wa Star TV hakuna tuhuma hata moja aliyojibu zaidi ya kujificha kwenye kichaka cha madawa ya kulevya na kucheka-cheka kwa dharau
Hivi unawezaje kumpa uzito mtu anayekana hata jina lake na Baba yake mzee Bashite aliyekiri kwamba anaitwa Bashite?
Acheni Makonda atawale Dar Es Salaam acheni akiri ndogo iongoze akiri kubwa lakini utashangaza kama kauli na matendo ya Makonda utayachukulia sirious kama habari ya maana
Jioni njema
Nilitizama nikashikwa na kichefu chefu ikabidi niweke
Music tuu huyu mtu ni wakumuogopa kama ukoma