Tunakesha kwenye Internet Usiku! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunakesha kwenye Internet Usiku!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Jimjuls, Sep 28, 2012.

 1. Jimjuls

  Jimjuls JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 461
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Tuliambiwa baada ya kuzindua mkonga wa Taifa huduma za internet zitapungua.Sasa mbona wanatufanya tuwe tunakesha usiku kwa offer zao (Voda,Airtel n.k),wakati huo huo vifurushi ni ghali mno?Tunkuwa "Internet Nocturnals"...
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,790
  Likes Received: 7,115
  Trophy Points: 280
  Hao mkonga wa taifa walisema itapungua kwa kiasi gani?

  Unajua kama nilikua nauza kitu milion 1 then nkiuza laki 9 elfu 99 mia 9 tisini na 9 pia nimepunguza bei?

  Bei zimepungua za bundles mitandao yote lakini ndo kiwango hicho?

  Hebu jipange kakusanye data then tuje tufanye calculation
   
 3. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkubwa inaonekana hupendi kukesha!! Mimi ntaendelea kukesha mpaka offer ifutwe mwa sababu speed ni kubwa as hakuna watumiaji wengi, Bei nafuu, hakuna bugdha mara umepigiwa simu mara mtoto kakutekenya mara mjukuu kakurukia,
   
 4. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  teh teh teh, saivi nachotaka ni anytime speedy internet, usiku nilale tu.
   
 5. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Hawa wezi wamekuja kuiba. Ni lugha za ulaghai tu! Wezi wa mali za watanzania, wezi, wezi,wezi,
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,790
  Likes Received: 7,115
  Trophy Points: 280
  Una sh ngap nije nkuungie
   
 7. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kaa kaa kwanza, bado natumia ya ofc. Nitakutafuta nikijaa mfuko.:A S shade:
   
 8. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  swali zuri sana chief, wengi tunapenda speed kubwa, unlimited downloads full time but mifuko imetoboka.
   
 9. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,472
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Gharama za mawasiliano tunapaswa kuziangalia kwa mapana sio data peke yake. Gharama za data au internet zimepungua baada ya mkonga kuanza kazi na zimekuwa zikiendelea kupungua hatua kwa hatua. Lakini pia gharama za voice calls, sms, mms, trans-network calls na pia charges za kupiga simu nje ya nchi. Makampuni hasa yana base katika matumizi yanayogusa watu wengi, hususan calls na sms kwa sababu punguzo katika matumizi ya kawaida lina attract attention ya wengi. Lakini kuhusu internet ni wachache sana tunaotumia huduma hizo. Kwa hiyo ukijumlisha punguzo katika huduma yote utafeel impact kuliko kuzungumzia data pekee ambayo ni huduma ya wachache.
   
 10. M

  Mtz.mzalendo JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Samahani jamani kwani huo mlonga wa taifa umeshazinduliwa?
   
 11. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye red sijakuelewa mkuu...! Ndo nini hiyo?
   
Loading...