Tunakamata wanaowapa ujauzito wanafunzi huku tukibariki na kuruhusu wanafunzi kushiriki ngono. This is nonsense!

Sawa Sheria ipo ya kumlinda Mtoto wa kike,na inatoa adhabu kali sana kwa mtu anempaa Mimba Mwanafunzi maana amemkatishia masomo yake! Sasa Sheria hiyo hiyo imemruhusu Mtoto wa kike aendelee na masomo yake,kwa hiyo Sasa hivi hakatishwi masomo yake tena! Je unapo mfunga baba wa Mtoto kwa miaka 30 huoni pia umemnyima Mtoto huyohuyo kua na Baba!? Na Mama atabaki kua single mother!! Tafakari!!!!!!!!
Nakubaliana nawe kwa ulovyochangia hapa,welldone mkuu,binafsi sipendi kabisa adhabu za aina hii ambazo zinatoa vitisho sio kuzuia tatizo(mimba bado ni nyingi mno pamoja na adhabu hii ya 30yrs)na pia sipendi kabisa death sentences ,hapa ni elimu elimu na elimu ili wanafunzi wetu wajielewe kuwa sexually active katika umri mdogo its not a smart move.
 
Kwan umri sahihi wa kumpa mwanafunzi mimba ni upi?😂😂😂 maana statement yako inaonesha kama vile kuna umri ambao mwanafunzi anaruhusiwa kubeba ujauzito
No no usinilishe maneno yako au kunisemea,kwangu mimi msichana under 16yrs hana uwezo wa kuwa na uamuzi na mimba hizi lazima ziripotiwe police maana ni rape,tujadili hoja hii kwa uwazi bila kuonyesha u better person than me.
 
Sawa Sheria ipo ya kumlinda Mtoto wa kike,na inatoa adhabu kali sana kwa mtu anempaa Mimba Mwanafunzi maana amemkatishia masomo yake! Sasa Sheria hiyo hiyo imemruhusu Mtoto wa kike aendelee na masomo yake,kwa hiyo Sasa hivi hakatishwi masomo yake tena! Je unapo mfunga baba wa Mtoto kwa miaka 30 huoni pia umemnyima Mtoto huyohuyo kua na Baba!? Na Mama atabaki kua single mother!! Tafakari!!!!!!!!
Kumbe tutaongeza idadi ya masingle maza.....this works to our advantage wazee wakugegeda maana masingle maza ni wakugegeda tuu alafu hamna kuoa...sheria nzuri hii
 
Kwani kubakwa maana yake Nini?Nijuavyo Mimi,hata kama Binti amekubali Kwa ridhaa yake ila Yuko under age basi umembaka!

Ukweli utawaweka huru. Acha kuzunguka na kujifariji. Watoto wanafanya ngono. Wenyewe Kwa wenyewe na sababu ya hela na tamaa za ukubwa wa mambo hurukia watu wazima. Wazazi wana Kama wewe mna mchango mkubwa sana katika haya. Tafuteni namna watoto wa kike wabebe respobility ya matendo Yao.

Watoto wa kizungu wanajua haya mambo mapema na wakifika 14 mahusiano ruksa. Lakini sio rahisi kudanganywa na ngumu kusikia mwanafunzi kapata mimba ghafla.

Kwanza tukubali Wanafanya kwa hiari yao. Then tuwape Elimu toka ndani ya Familia na uhuru wa kuongea. Watoto Wajue kuwa kuwa katika mahusiano Ni jambo jema Lakini isiwe Siri.
 
Ushauri bora huu.
 
Mpaka sasa sijapata kujua kuwa kifungu cha 60 A(3) cha Education Act kinachowatia hatiani wanaowapa mimba wanafunzi kama kinafanya kazi.

Kuruhusu wanafunzi kurudi masomoni baada ya kupata mimba na kujifungua ni sawa na kuruhusu washiriki matendo ya ngono hata kabla ya kumaliza shule.

Sasa kama ndio hivi mbona kama mnahalalisha ngono kwa wanafunzi mnawakamata wanaoshiriki nao ngono?

Je, hamjui madhara ya mlichokihararisha? DC Kaliua aagiza mwalimu wa sekondari akamatwe
Kwa kipindi kifupi tu tangu rais Wetu mpendwa mama Samia kumrith marehem magufuli yani amemfunika Vijaya sana. Nduli magufuli alidhani urais ni kufokafoka na kurukaruka hapa na Pale kama swala.
 
Mpaka sasa sijapata kujua kuwa kifungu cha 60 A(3) cha Education Act kinachowatia hatiani wanaowapa mimba wanafunzi kama kinafanya kazi.
Unajua mtu anayeitwa Minor..., kama wewe sio mwanafunzi, mwalimu au mtu wa mtaani kumpa mimba mwanafunzi ni kosa..., hivyo jihadhari kwa hili..., kama aliyempa mimba ni mwanafunzi mwenzake hapo you might have an argument na sidhani kama hawa wanashikwa....
Kuruhusu wanafunzi kurudi masomoni baada ya kupata mimba na kujifungua ni sawa na kuruhusu washiriki matendo ya ngono hata kabla ya kumaliza shule.
Kwahio tuwafunge au tuwaache bila kuwa na skills zozote..., huoni hapo tutakuwa kama taifa ndio tunapoteza ? (kuwa na kina mama wajao wenye watoto bila kuwa na skills zozote (huo ni mzigo kwa taifa) ambao wote tutaulipia
Sasa kama ndio hivi mbona kama mnahalalisha ngono kwa wanafunzi mnawakamata wanaoshiriki nao ngono?

Je, hamjui madhara ya mlichokihararisha? DC Kaliua aagiza mwalimu wa sekondari akamatwe
Hakuna anayehararisha ngono..., sababu tunatibu kipindupindu kikitokea haimaanishi tunahararisha watu kuwa wachafu
 
Mpaka sasa sijapata kujua kuwa kifungu cha 60 A(3) cha Education Act kinachowatia hatiani wanaowapa mimba wanafunzi kama kinafanya kazi.

Kuruhusu wanafunzi kurudi masomoni baada ya kupata mimba na kujifungua ni sawa na kuruhusu washiriki matendo ya ngono hata kabla ya kumaliza shule.

Sasa kama ndio hivi mbona kama mnahalalisha ngono kwa wanafunzi mnawakamata wanaoshiriki nao ngono?

Je, hamjui madhara ya mlichokihararisha? DC Kaliua aagiza mwalimu wa sekondari akamatwe
Nimesoma msg za wengi lkn hakuna aliyeweza pingua hoja yako.

Mtoa mada apewe ulinzi
 
Ukweli usemwe tu.. "mimba sio kilema" kuibeba inaweza tokea bahati mbaya au kudhamiria lakini elimu ni haki ya mwanadamu yoyote bila kujali jinsia wala maumbile.

Mwanamke akisoma Elimu yake itamnufaisha na mtoto wake pia ambae ndo wew unaekataa mama ako asirudi shule. Mama ako angeelimika vizuri sidhani kama angeruhusu huo utopolo kuwepo kichwani mwako mpaka hivi leo. Wamama ndo nguzo za familia ambazo ndo msingi wa jamii yoyote ile. Elimisha Mwanamke, umeelimisha familia yake na jamii kwa ujumla. Tafuta wa size yako.. acha mawazo ya kuwabaka watoto, tutakufunga.
 
Mpaka sasa sijapata kujua kuwa kifungu cha 60 A(3) cha Education Act kinachowatia hatiani wanaowapa mimba wanafunzi kama kinafanya kazi.

Kuruhusu wanafunzi kurudi masomoni baada ya kupata mimba na kujifungua ni sawa na kuruhusu washiriki matendo ya ngono hata kabla ya kumaliza shule.

Sasa kama ndio hivi mbona kama mnahalalisha ngono kwa wanafunzi mnawakamata wanaoshiriki nao ngono?

Je, hamjui madhara ya mlichokihararisha? DC Kaliua aagiza mwalimu wa sekondari akamatwe
Tangu mjomba wako alivyo kataliwa kiwafanyia ubaya watoto wa kike wanaopata ujauzito naona umechanganyikiwa
 
Back
Top Bottom