MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 13,962
- 35,086
Habari za mchana wana JF,
Ikiwa ni Ijumaa tulivu kabisa na muda unasogea sogoe kuelekea mapumziko ya mwisho wa wiki. Kazi zinakua ngumu kidogo kufanyika, kichwani mawazo ya bia baridi (inayotoka jasho) na mziki kwa mbali huku ukiwa unatafakari kama baby atakuja au la pamoja na ugumu wa hali ya uchumi lakini mfukoni una pesa za kunywa balimi za kutosha na kumhudumia baby mama au baby drama.
Sasa kinachonitatiza ni kwamba tunajua baada ya kunywa balimi (au beer ya chaguo lako) mwisho wa siku ni ku impair uwezo wa akili yako kufanya kazi yake sawa sawa (yaani unatumia akili nyingi kufanya jambo dogo) na mwisho wa siku unakuwa kwenye kilele cha mafanikio ya pombe.
Fine, tunaomba Mungu atuepushe na ajali na ugomvi ambao unaweza ukasababisha tukae MOI miguu yetu ikiwa imening'inizwa kwa muda mrefu au kupata operation ya kichwa. Pamoja na kujua hayo yote, kwanini tunakunya hiyo kitu aisee. Nahisi akilizetu kuna sehemu zinatusaliti.