chuwaalbert
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 3,598
- 2,136
Hiyo Hotuba aliindaa mwenyewe, ndio maana ile KARATASI waliyomuibia kwa UFUNDI MKUBWA aliishtukia. Nimemsikia akisema, THIS IS NOT the WHOLE SPEECH. It is a wrong SPEECH. Yawezekana alikusudia kujiuzuru, na Majenerali wake HAWATAKI...