Tunajifunza nini juu ya hii habari ya Obama na rafiki yake wa Uganda?

The whole thing played into an existing US foreign ploy and presented an opportunity to portray the ever benevolent Mr. Obama without compromising the interests of State Department.

So it is not as random as it is made out to be.There are some obvious geopolitical underlines for those with discerning eyes.
 
watanzania wote wakitaka kwenda ikulu kwa kumuona raisi kwa shida zao Patatosha? si anao wawakilishi wake nchi nzima?
 
watanzania wote wakitaka kwenda ikulu kwa kumuona raisi kwa shida zao Patatosha? si anao wawakilishi wake nchi nzima?
 
hata wa kwetu anajali pia.



Huyu wa kwenu ni msanii tu!! Angekuwa na mapenzi ya kweli asingeshirikiana na majangili /mafisadi kuiibia nchi na kukosa fedha za kuwalipa madaktari na walimu!!! Yeye na genge lake wanatuibia na kuficha mali huko ughaibuni na ndio maana kila leo anakwea pipa!!
 
Obama alijibu barua iliyofikishwa kwake na mtu wa ikulu kama ilivyoelezwa hapo. Sasa kama jamaa alituma kwa njia y posta inakuwa ni vigumu kwa Rais kuipata. Huenda washauri wake waliipata wakamshauri.

Lakini mbona nasikia JK alikuwa akijibu sms!


Sawa, kama JK alikuwa anajibu SMS aliacha kufanya hivyo juu ya nini? Sidhani kama ni yeye ndiye alikuwa anajibu au Ridhiwani. Yote hayo tisa, hatuna rais sie.
 
hata wa kwetu anajali pia.





Ridhiwani, ahsante sana kwa hii picha....kusalimia tu watoto ama kufuturu nao Ikulu bila vitendo si kujali. Jiulize ile ahadi baba yako aliyoitoa kwa watanzania ya kuwa kila mmoja wetu atakuwa na maisha mazuri ilifia wapi? mbona kila kukicha watu wanazidi kulalamika na wewe unazidi kuwa na malori, kulikoni?
 
Back
Top Bottom