Silijui hilo kwa vipimo vyako, nini kinakufanya uone mwanamke ndiye yuko mbele sana kujenga mgawanyiko wa kifamilia?
[/Nimejaribu pia kufanya tafiti na nikagundua kuwa hali hii haswa inawakiuta watu ambao waliingia katika ndoa kwa kulazimishwa au tamaa ambazo pia kwa hali ya karne ya leo tamaa imekuwa na uzito mkubwa sana katika kuvunjisha sana ndoa za maelfu ya watu hapa duniani.
Mambo engine tunajitakia wenyewe kwa kushadidia. tamaduni za Magharibi na kuacha za kwetu Waafrika.Habari wana jamvi,
Bila shaka leo nimekuja kuzungumzia suala zima la malezi haswa kwa wazazi wa upande mmoja,nowdays wanajiita sigles as (singomaza).Masingo maza natamani sana mpitie huu uzi ili mjifunze jambo
Kumekuwa na jopo au kundi wamekuwa singomazaz na hawajali kabisa kuwa katika hali hiyo,maana yangu ni kwamba wamechukulia suala la kuishi bila wazazi wenza ni kama jambo la kawaida,
Ila,niseme tu au nielezee kuwa hali hiyo si nzuri kabisa,mniwie radhi wanawake kwa kuwa nimekuwa nikiwatag sana,Ila hata wanaume pia wapo katika kundi hili.
Nimejaribu pia kufanya tafiti na nikagundua kuwa hali hii haswa inawakiuta watu ambao waliingia katika ndoa kwa kulazimishwa au tamaa ambazo pia kwa hali ya karne ya leo tamaa imekuwa na uzito mkubwa sana katika kuvunjisha sana ndoa za maelfu ya watu hapa duniani.
Mimi si mshauri kwa suala la ndoa japo kidogo ninauelewa kwasababu nimefanya tafiti nyingi katika jamii nilizowahi kuishi lakini pia nimekuwa nikifuatilia sehemu mbalimbali kutokana na utanzdazwazi hivyo ninaelewa.
Leo kumekuwa na watu ambao wakuamua kuvunja ndoa hata kesho tu inawezekana na ni rahisi tu,Japo sio mbaya hii inaweza kutokea sidhani kama no mbaya kwa sababu wahenga waliwahi kusema “siri ya mtungi aijuaye kata” lakini chanzo unaweza ukakuta ni mali au tamaa za kijinga tu(huo ni upumbavu mkubwa sana).
Ila,je wanaoamua kutengana na kila mtu kuishi kivyake na walikuwa wameshapata familia wanajua changamoto na matatizo wanayoyajenga kwa miaka ijayo?
Hivi wewe mdau unahisi ni jamii ya aina gani ambayo inajengwa baada ya ndoa kuvunjika,na ikiwa jamii hiyo ni mbaya na ili ikomeshwe ni njia gani zitumike?
Good habits learned inside the house flow out into the streets.Ju,kuwa nyumbani kwa lengo la kubailisha dunia inawezekanaje,na hao wmbao muda mwingi hawapo nyumbani maana yake ni hawawezi kufanya hivyo?
Nakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa sana na hapa kusema ukweli ni tumeshindwa kujisimamia na tumekubali kuishi kama nguruwe…Mambo engine tunajitakia wenyewe kwa kushadidia. tamaduni za Magharibi na kuacha za kwetu Waafrika.
Mfano tumekuwa tukitumia nguvu Sana kupinga adhabu ya fimbo mashuleni na majumbani,matokeo yake tunakuja kutumia risasi na magereza kuwarekebisha watu wakishakuwa wakubwa.
Tumekuwa pia tunatumia nguvu nyingi kutaka 50 Kwa 50 na usawa Kati ya wanaume na wanawake,matokeo yake tunashangaa kuona ndoa nyingi zinavunjika na kuathiri malezi ya watoto.
Mifano ni mingi,Itoshe kusema tu kwamba tunatakiwa tujitathmini kama Taiga ili tuachane na Tania ya kudandia tamaduni na Mila za kigeni kwa kisingizio cha Utandawazi.
Hawa wazazi wa sasa wanaoonekana kuwa wa hovyo si ndio walilelewa na hao wazazi wa zamani.Kizazi cha wazazi wa sasa kina ubinafsi wa kiwango cha juu sana. Zamani wazazi wetu walikuwa wanavumilia mengi sana ili mradi tu watoto wakue kwenye familia iliyokamilika.
Lakini hawa wa sasa wakizinguana kidogo tu kila mtu anafungasha virago vyake na kusepa zake. Yaani people care more about their peace of mind and ego than the stability of their own kids. Matokeo yake wanatengeneza watoto ambao wakikua wanakuwa na visasi, hawajui maana ya kuvumilia, na wanakuwa wanaona mahusiano ni kitu cha kuingia na kutoka tu wakati wowote.
Shida yangu ni moja, kila Bar Maid niliyeongea naye mahali popote ni Single Maza, sijawahi kujua hii connectionHabari wana jamvi,
Bila shaka leo nimekuja kuzungumzia suala zima la malezi haswa kwa wazazi wa upande mmoja,nowdays wanajiita sigles as (singomaza).Masingo maza natamani sana mpitie huu uzi ili mjifunze jambo
Kumekuwa na jopo au kundi wamekuwa singomazaz na hawajali kabisa kuwa katika hali hiyo,maana yangu ni kwamba wamechukulia suala la kuishi bila wazazi wenza ni kama jambo la kawaida,
Ila,niseme tu au nielezee kuwa hali hiyo si nzuri kabisa,mniwie radhi wanawake kwa kuwa nimekuwa nikiwatag sana,Ila hata wanaume pia wapo katika kundi hili.
Nimejaribu pia kufanya tafiti na nikagundua kuwa hali hii haswa inawakiuta watu ambao waliingia katika ndoa kwa kulazimishwa au tamaa ambazo pia kwa hali ya karne ya leo tamaa imekuwa na uzito mkubwa sana katika kuvunjisha sana ndoa za maelfu ya watu hapa duniani.
Mimi si mshauri kwa suala la ndoa japo kidogo ninauelewa kwasababu nimefanya tafiti nyingi katika jamii nilizowahi kuishi lakini pia nimekuwa nikifuatilia sehemu mbalimbali kutokana na utanzdazwazi hivyo ninaelewa.
Leo kumekuwa na watu ambao wakuamua kuvunja ndoa hata kesho tu inawezekana na ni rahisi tu,Japo sio mbaya hii inaweza kutokea sidhani kama no mbaya kwa sababu wahenga waliwahi kusema “siri ya mtungi aijuaye kata” lakini chanzo unaweza ukakuta ni mali au tamaa za kijinga tu(huo ni upumbavu mkubwa sana).
Ila,je wanaoamua kutengana na kila mtu kuishi kivyake na walikuwa wameshapata familia wanajua changamoto na matatizo wanayoyajenga kwa miaka ijayo?
Hivi wewe mdau unahisi ni jamii ya aina gani ambayo inajengwa baada ya ndoa kuvunjika,na ikiwa jamii hiyo ni mbaya na ili ikomeshwe ni njia gani zitumike?
Zamani, wazazi wetu walikuwa wanaishi kwenye jamii ndogo. Changamoto za ndani ya nyumba walikuwa wanazijua wao wawili au na ndugu wa karibu sana. Hakukuwa na mtu wa kuwaambia kuwa maisha yao ni mabaya. Siku hizi, kijana akiamka tu asubuhi, anafungua Instagram au TikTok na kukutana na mamilioni ya watu wanaorusha maisha yao ya uongo na kweli ya kifahari.Hawa wazazi wa sasa wanaoonekana kuwa wa hovyo si ndio walilelewa na hao wazazi wa zamani.
Sasa hawa wazazi wa sasa hiyo tabia ya kukosa uvumilivu wamejifunzia wapi kama wazazi wao hawakuwa na hiyo tabia?
Unataka kuniambia hata hawa wazazi wa miaka 36 na kuendelea hadi 50 nao wanaendesha maisha yao kwa pressure za mitandao ya kijamii?Zamani, wazazi wetu walikuwa wanaishi kwenye jamii ndogo. Changamoto za ndani ya nyumba walikuwa wanazijua wao wawili au na ndugu wa karibu sana. Hakukuwa na mtu wa kuwaambia kuwa maisha yao ni mabaya. Siku hizi, kijana akiamka tu asubuhi, anafungua Instagram au TikTok na kukutana na mamilioni ya watu wanaorusha maisha yao ya uongo na kweli ya kifahari.
Hapa ndipo ugonjwa unapoanzia. Unaanza kuona mbona mume wa fulani anampa zawadi kila wiki, mbona mke wa fulani hapigi kelele? Huu ulinganishaji huwa unaleta kile tunaita FOMO. Wazazi wa zamani hawakuwa na hii presha ya kidunia, nyinyi vijana wa kisasa mmebatizwa na mawazo ya nje yanayowaambia you deserve better kila mda, hata kwa mambo madogo sana ya kijinga.
Jibu ni ndio kwa sababu kwenye ukuaji wao hakukuwa na interaction kubwa ya mitandao ya kijamii ukilinganisha na sasa.Unataka kuniambia hata hawa wazazi wa miaka 36 na kuendelea hadi 50 nao wanaendesha maisha yao kwa pressure za mitandao ya kijamii?
Zilivunjika yes lakini sababu ya kuvunjika ni tofauti sana na hizi ndoa za sasa na ndiyo msingi wa mada hii.Miaka ya 90 ambako hakukuwa na mambo ya mitandao ya kijamii niliwahi kushuhudia wanandoa kadhaa wakivunja ndoo zao. Hao nao utasema walikuwa na FOMO?
Anaamini Bar ndio kitegeauchumi baada ya kuachika kwenye ndoa,isitoshe wengine wanazaa kama burudani hivyo mzazi mwenza hayupo kwenye muhimili wake ndio mana inatokea wanaamua kwenda kuuza pombe na nyuchi.Shida yangu ni moja, kila Bar Maid niliyeongea naye mahali popote ni Single Maza, sijawahi kujua hii connection
Kwa hiyo wanaacha Ndoa kwa lengo la kuwa huru kuuza nyuchi?Anaamini Bar ndio kitegeauchumi baada ya kuachika kwenye ndoa,isitoshe wengine wanazaa kama burudani hivyo mzazi mwenza hayupo kwenye muhimili wake ndio mana inatokea wanaamua kwenda kuuza pombe na nyuchi.
Unacho kisema ni kweli mkuu,wazazi wa wazamani hawakuwa na katabia ka tamaa hata kidogo,na walishirikiana kinagaubaga na wenza wao kitimiza haja.Zamani, wazazi wetu walikuwa wanaishi kwenye jamii ndogo. Changamoto za ndani ya nyumba walikuwa wanazijua wao wawili au na ndugu wa karibu sana. Hakukuwa na mtu wa kuwaambia kuwa maisha yao ni mabaya. Siku hizi, kijana akiamka tu asubuhi, anafungua Instagram au TikTok na kukutana na mamilioni ya watu wanaorusha maisha yao ya uongo na kweli ya kifahari.
Hapa ndipo ugonjwa unapoanzia. Unaanza kuona mbona mume wa fulani anampa zawadi kila wiki, mbona mke wa fulani hapigi kelele? Huu ulinganishaji huwa unaleta kile tunaita FOMO. Wazazi wa zamani hawakuwa na hii presha ya kidunia, nyinyi vijana wa kisasa mmebatizwa na mawazo ya nje yanayowaambia you deserve better kila mda, hata kwa mambo madogo sana ya kijinga.
HeheheHiyo Biashara huenda ikawa ya kuibiaakini ikitokea unakutana na mwanamke anauza bar ni kitu gani kinakujia kichwani mwako😂😂😂