Tunaitoaje CCM madarakani?

Kwasasa wapinzani hawafiki milioni 3 kati ya zaidi ya watu millioni 50.jamiiiforum tu hapa hawafiki laki 3.ccm inakubalika sana kwa sasa.huu ndio ukweli mchungu.
Njia ya kuitoa ccm madarakani ni style iliyotumika Algeria, Misri ,Tunisia ,Libya ,Zimbabwe na Sudan hizo ndio Njia mujarabu kumtoa adui wa watanzania ccm .
 
Tatizo lako umekalilishwa mambo, ukiona hivyo hata thinking capacity yako ni ndogo.
 
Tatizo lako umekalilishwa mambo, ukiona hivyo hata thinking capacity yako ni ndogo.
Haya maneno yalikuwapo siku zote mbona inaonekana upinzani kuna watu wa maana kama akina kafulila,na wengineo hao uliowataja bado ni hazina bora kabisa.
 
Lile komwe likifumuliwa na AK47 hakika hii nchi italipuka kwa furaha
 
hahahahaha jomba naona umelewa amani..umechoka na ccm sasa unataka utuletee mafisadi yenu...nendeni zenu.kule..wacha ccm itawale hata. milele..kama inatuletea maendeleo tatizo lako nini...yaani shida yako.unataka zamu tu ya kula baaasi..unaona wenzio wanafaidi。ni wakati wao.wacha wafaidi lakini wanaendelea kipiga kazi sana..mtasubiri sana
 
Njia ya kuitoa ccm madarakani ni style iliyotumika Algeria, Misri ,Tunisia ,Libya ,Zimbabwe na Sudan hizo ndio Njia mujarabu kumtoa adui wa watanzania ccm .
hahahaha mafisadi mtayajua tu.. wanajificha weee sasa wameamua kujitokeza wenyewe. uzalendo unewashinda
 
Ccm itatolewa na wananchi.Bei ya mkate , sembe,ukosefu wa ajira , sukar , mafuta ya kula n.k ndio kaburi la ccm.wala usihangaike ni suala la muda tu
 
Akili mgando bado ni tatizo,bado hatujui kwamba sisi wanainchi ndio tunawajibu wakuwaambia watawala nini tunataka. Frikra za kwamba watawala ndio wanatuamulia kila kitu ndio mana tunaona haya tunayoyaona.
Ndio maana mie naona hata kubadilisha chama bado hakutakuwa ndio solution.
 
Mkuu ccm ikiwa madarakani watu wataigiza wanaipenda, kama ilivyokuwa Mugabe huko Zimbabwe, alipokuwa madarakani kulikuwa na watu wanamshabikia vibaya sana, ilipofika siku ya yeye kutolewa madarakani washabiki wake wakapotea ghafla.
Unasema watu wanaigiza wakati wanaipigia hadi kura,ingekuwa kwenye uchaguzi hawaipigii kura hapo ndio tungeongea kuhusu kuigiza.
 
Unasema watu wanaigiza wakati wanaipigia hadi kura,ingekuwa kwenye uchaguzi hawaipigii kura hapo ndio tungeongea kuhusu kuigiza.

Kuna chama hakipati kura kwenye uchaguzi au huwa hazitoshi tu?
 
You have to be risk taker first!.
 
Laki moja wote wa nini?, hata hamsini hawaishi kabla vijana wakazi hawajatoroka camp kuja kuonyesha yaliyojaa moyoni kwa matendo!.
 
Siku viongozi wenye kariba ya Tundu Lisu, Lema, Heche, n.k. watakapo shika hatamu ya uongozi katika vyama vya siasa za upinzani!. Maana hao naona wanaweza kuongoza likaamshwa dude kitaa vijana wakaingia kitaa!.
 
Hahaha nicheke Kwanza CCM ni system sasa unapowaza hayo mawazo lijue hilo. CCM ndio Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
 
Kabla hujafikiria unaitoaje CCM madarakani ,jiulize CCM ikiisha toka madarakani atakayeingia madarakani ni nani na wa namna gani ?.
Tumeshuhudia wapinzani hao hao waliotegemewa na wananchi kwa misimamo yao thabiti wakiamia CCM na kuwaacha wananchi waliowapigia kura wakiduwaha haaaa!.


Baadhi ya walio wengi upinzani ni wale walio kuwa CCM wakakosa nafasi za uongozi au uteuzi ndani ya CCM au serikalini na hivyo kuelekea upinzani .

Kutambua huyu ndiye au huyu siye wa kuibadili CCM ni kitendawili kwani ni Watanzania wachache wenye uzalendo wa kweli wa tayari kufia nchi yao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…