Tunaisoma namba pamoja

Tunaisoma namba pamoja

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Mimi sijui huyo msanii kamaanisha au anawakilisha ujumbe gani hapa.
FB_IMG_1543056278569.jpeg
 
Tumesha zisoma mpaka namba za KIRUMI. Ila vijana wa lumumba ndio wameshika fora, wamesha maliza mpaka COURSE WORK!!! Course Work ya SEMESTER 5, wamei soma ndani ya semester 3 tu. Na bado[emoji57] [emoji18] [emoji53]
 
Maisha ni leo mkuu ajifunze nchi ndogo Carp Verde, watu wana furaha mambo yana kwenda,haya mambo kila mkuu akiongea anapunguza matumaini Sio kabisa. Sheria nyingine za kurekebisha zina mapungufu mengi.
 
Sahv watumishi wanaisoma namba sjui namba gani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Wachimba visima nao itabidi watoze Watu kuchota maji,this is sad 😢
 
Back
Top Bottom