Tunahitaji watu kama hawa wanaochungulia uvunguni

ichumu lya

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
2,605
2,729
Serkali chukueni ushauri huu.

Mimi siongezi wala sipunguzi neno kazi kwenu.
IMG_20200319_123341_603.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serkali chukueni ushauri huu.

1584612482610.png

I say. Mbona tutakoma na hii Corona. Yaani siku hizi Corona imekuwa kisingizio cha kila kitu pia. Baadaye utasikia SGR, Stiegler hazikumalizika kwa sababu ya Corona. Pia uchumi wa Tanzania umedorola Corona. Vyuma vinazidi kukaza Corona. Corona sasa inavunja hata ndoa za watu!
 
  • Thanks
Reactions: rr3
ni wazo zuri ila madereva wa boda boda waendelee kuvaa maana ni yao binafsi, ila abiria tusitishe kuvaa kwa muda
 
Back
Top Bottom