Angalizo kwa Simba: Jwaneng Gallaxy sio team nyepesi kama mnavodhani

ngara23

JF-Expert Member
Aug 31, 2019
2,383
5,227
Naona mashabiki wa Simba baada ya kupata sare na Asec Mimosas wameanza sherehe na kujiona wapo quarter final

Jwaneng ni team ngumu haswa ina points 4 ikishinda kwa mkapa inafikisha points 7 na kufuzu, watakuja kucheza jihad

Jwaneng ni wataalam wa kushinda ugenini waliwapiga Simba ikiwa kamili 2020 goals 3 na kuwatoa mashindanoni, hiyo simba ilikuwa na chama na miquison wakiwa moto, tadeo lwanga, kagere, mgalu, kapombe na Tshabalala walikuwa wangali vijana lakini bado Makili kili wakawapiga Mbumbumbu goal 5

Msimu huu wamempiga Wydad kwake jikoni, na wale waarabu walivo wagumu kuwapiga Morroco

Mbumbumbu Safari haijaisha chukueni tahadhari zote

Nawatakia kila la heri tupangwe knock out stage tuwapige 5 tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana nao

Wacha watoke

Hata ikipita haina faida. Atakufa kiume tu

Aende widad na asec

Football is investment sio uhuni uhuni

Yanga kwa sasa inatosha
 
Naona mashabiki wa Simba baada ya kupata sare na Asec Mimosas wameanza sherehe na kujiona wapo quarter final

Jwaneng ni team ngumu haswa ina points 4 ikishinda kwa mkapa inafikisha points 7 na kufuzu, watakuja kucheza jihad

Jwaneng ni wataalam wa kushinda ugenini waliwapiga Simba ikiwa kamili 2020 goals 3 na kuwatoa mashindanoni, hiyo simba ilikuwa na chama na miquison wakiwa moto, tadeo lwanga, kagere, mgalu, kapombe na Tshabalala walikuwa wangali vijana lakini bado Makili kili wakawapiga Mbumbumbu goal 5

Msimu huu wamempiga Wydad kwake jikoni, na wale waarabu walivo wagumu kuwapiga Morroco

Mbumbumbu Safari haijaisha chukueni tahadhari zote

Nawatakia kila la heri tupangwe knock out stage tuwapige 5 tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Umefanya makosa sana kuwastua midomo fc. Ungewaacha iwe kama hivi ilivyokuwa
IMG_20240225_095422.jpg
 
Naona mashabiki wa Simba baada ya kupata sare na Asec Mimosas wameanza sherehe na kujiona wapo quarter final

Jwaneng ni team ngumu haswa ina points 4 ikishinda kwa mkapa inafikisha points 7 na kufuzu, watakuja kucheza jihad

Jwaneng ni wataalam wa kushinda ugenini waliwapiga Simba ikiwa kamili 2020 goals 3 na kuwatoa mashindanoni, hiyo simba ilikuwa na chama na miquison wakiwa moto, tadeo lwanga, kagere, mgalu, kapombe na Tshabalala walikuwa wangali vijana lakini bado Makili kili wakawapiga Mbumbumbu goal 5

Msimu huu wamempiga Wydad kwake jikoni, na wale waarabu walivo wagumu kuwapiga Morroco

Mbumbumbu Safari haijaisha chukueni tahadhari zote

Nawatakia kila la heri tupangwe knock out stage tuwapige 5 tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka nianzishe hii mada, umeniwahi. Sio tu kwamba sio timu dhaifu, bali pia nao wana nafasi ya ku qualify pia.

Jwaneng wakimfunga Simba, na Asec wakamfunga Wydad atapita Asec na Jwaneng.

Matokeo yote mawili yanawezekana sababu Wydad ashawahi kupoteza home against Jwaneng hivyo sio ajabu kupoteza against Asec.

Pili kama Jwaneng akiwa away ashamfunga Wydad haitokua ajabu akishinda away also against Simba.

Simba wajifunze kwa Yanga, wachezaji wanaoruka ruka dakika 90 hakuna any movement ya goli ni kuwaweka benchi. Mchezaji anavuja jasho kama bomba but for nothing.
 
Simba sina matumaini nayo kwasababu

1. Mpira dhidi ya Asec simba alicheza mpira mbovu saana Taifa, Asec angekuwa na moto Simba angechapwa goli nyingi, na kama Simba nae angekuwa na moto, angemtandika Asec hata bao 5. Hili group timu zote zina uwezo wa Wastani, hakuna atakayeingia nusu fainal kwa uwezo.

2. Dhidi ha Wydad hii ilionesha ni namna gani Wydad alivyoishiwa mpira, kiwango kimeshuka, Simba akashinda, Simba akajiona ana timu ilhali bado timu haipo.

3. Simba haina mfungaji, hakuna mtu ambaye anayeweza kusumbua defence ya Jwaneng pale kati, sijui akili gani ilitumika kumuacha Baleke. Jwaneng wakichanga karata zao vizuri, kwa perfomance hii ya Simba, kwa perfomance hii ya Simba mechi zake za hivi karibuni, siioni Simba ikichukua matokeo mazuri mbele ya Jwaneng.
 
Jwaneng ni wataalam wa mechi za away
Tuko hapa tutashangazwa na matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom