Tunahitaji muujiza watanzania wenzangu

Tunahitaji muujiza watanzania wenzangu

Safi sana JEKI. Sasa achana na hao wa kijiweni njoo kwetu sisi wa JF .... tunahitaji project za uhakika na tunakuhakikishia tutazifanya na kuacha kabisa kuwaza malove davi.... Haya sasa mwaga Sera.
 
Last edited by a moderator:
vijana niliongea nao na kufungua mawazo upande wao ili wapendekeze nini wanachoweza kufanya kufanya, amini usiamini vijana wale wamepotea na sijui walikohamia.

Usijali,tupo wengi tunaohitaji hiyo miradi
 
Pole yako mkuu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Naona tatizo kwenye uhamasishaji. Wazo zuri ila limeanza vibaya
 
Safi sana JEKI. Sasa achana na hao wa kijiweni njoo kwetu sisi wa JF .... tunahitaji project za uhakika na tunakuhakikishia tutazifanya na kuacha kabisa kuwaza malove davi.... Haya sasa mwaga Sera.

Za kuuza maji na ubuyu hutaki!?
 
Last edited by a moderator:
ulianza vizuri thread yako lakini umenichefuwa kuja kufanya sample mmu na hao watoto wenzako mtaani.

kwanza ni takwimu zipi umetumia kujuwa mmu ndio lina wachangiaji wengi? au wewe ndio mpenzi wa mmu?

ungekuwa una adabu ningeshushia nondo kutokana na hoja yako lakini style yetu jf kila mtu anastahili kujibiwa according to ur approach, ni hivi hata New York kazi za kijingajinga ni za wajingawajinga wahamiaji na siyo za watoto mjini born here here.

Dar es salaam ni jiji ambalo unaweza kuishi hata kwa upambe tu na mambo safi na Heineken inanyweka kama kawa. wanyamwezi wana watoto wakali mtaani unataka uwafanyishe biashara ya harawa? kuuza mabarafu? umekuja na mbio za mwenge nini bro?

Ahahahahahaha!! Dar city center.

Mkuu Matola kwanza nikutake radhi kama nimetumia lugha mbaya, lakini ungeipa uzito hoja yenyewe ni si makosa ya kiuandishi, je unaunga mkono maisha ya upambe? mimi siyo CCM, ni mtanzania asiye na chama chochote.
 
Last edited by a moderator:
Naona tatizo kwenye uhamasishaji. Wazo zuri ila limeanza vibaya

ningeanzaje mkuu, maana nilianza na semina kama mwezi mzima, hapo tukajadiliana mengi ikiwa na wao kutoa mawazo yao na ndoto zao, tukaelezana aina ya ushirikiano na faida kila mmoja atazopata, baadae tukaja sehemu ya kusaini makubaliano na mwisho utekelezaji, wakaleta project wanazodhani wanazitaka, tukasambaa kwa makubaliana tufanye utafiti ili kujifunza na kujua gharama halisi, vijana wakapotea.
 
Safi sana JEKI. Sasa achana na hao wa kijiweni njoo kwetu sisi wa JF .... tunahitaji project za uhakika na tunakuhakikishia tutazifanya na kuacha kabisa kuwaza malove davi.... Haya sasa mwaga Sera.
happiness win, wa JF siwawezi wanahitaji miradi ya mabilioni, hao wa kuuza ubuyu na vitumbua mtaani ndo size yangu, huku JF kila mtu mjuaji, si umeona walivyochangia post yangu.
 
Last edited by a moderator:
Na wewe nenda taratibu taratibu na bangi maana naona inakupelekesha kimtindo !
 
inategemeana na ulivyowatongoza yani hapo ndio tatizo kama umeonyesha we ndo utafaidi kuliko wao hapo ni ngumu watu kukubaliana na wewe....

kama mimi hawakunielewa basi hakuna mtu wanaweza kumuelewa, nilitumia mbinu za kisasa kabisa, ikiwa na kuwahakikishia hakuna kijana tapata tabu akiwa na bidiii, hela ya sigara nayo nikawaambia wavuta sigara sasa mambo ya kugongea sigara baaaasi, lakini wapi.
 
happiness win, wa JF siwawezi wanahitaji miradi ya mabilioni, hao wa kuuza ubuyu na vitumbua mtaani ndo size yangu, huku JF kila mtu mjuaji, si umeona walivyochangia post yangu.

Nimeona michango ilivyotolewa ndio uelewe binadamu tonatofautiana kwa kila kitu na Ndio ujue pamoja na hao uliojaribu kuwasaidia wakaingia mitini bado kuna wengine ambao wangethamini msaada wako na wangejikwamua kwa kuanzia kuuza ubuyu hadi kukodisha ndege. Endelea na moyo huo ukijua binadamu tunatofautiana.
 
kama mimi hawakunielewa basi hakuna mtu wanaweza kumuelewa, nilitumia mbinu za kisasa kabisa, ikiwa na kuwahakikishia hakuna kijana tapata tabu akiwa na bidiii, hela ya sigara nayo nikawaambia wavuta sigara sasa mambo ya kugongea sigara baaaasi, lakini wapi.

basi hongera you didi your best
 
Back
Top Bottom