Tunahitaji maendeleo amani na ustawi wa taifa ipo haja tuwe na mfumo mpya haraka ili tuelewane

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,610
13,160
HE.JPM kwa dira na kasi yake ,nashauri afanye kuitisha katiba mpya,tubadili mfumo.Mfano wa tukio la karibuni .Report CAG, Badala kusubiri wabunge watumie billion kadhaa,yeye katumia milioni chache na muda mchache,mafuta na posho mihimili yote wito Ikulu CAG kawasilisha kachukua maamuzi na kutoa maelekezo kwa waziri mkuu kupitia na kuchukua hatua.Pia neno msisitizo Bunge na Mahakama kufanya yaliyo upande wao.
Kwa mfumo tulio nao inaonekana Dola ime hodhi majukumu ya mihimili mingine.

Ni vyema kasi na dhamira njema ya Raisi wetu kuleta maendeleo,ustawi na amani.Tufanye mariadhiano kama taifa,kupunguza idadi wagunge, mfano wabunge 2 kila mkoa kwa jenda.Watz wakiridhia tutapunguza madai mihimili mingine na wanaichi waone haki na wajibu pande zote

Tufanye uamuzi endapo hatuhitaji democrasia na mfumo wa vyama vingi.Ili wasiwepo tena wanaodai haki zao kwa mujibu wa katiba ya sasa.

Vizuri KATIBA mpya ipatikane mapema tupate maendeleo ,amani na ustawi wa taifa letu,chini ya kiongozi wetu mahiri.Kinyume chake misuguano na kumomonyoka umoja wa taifa letu na kuathiri Amani kwa Mihimili mingine na hata watendaji wa dola na wananchi kwa ujumla kutokujua muongozo sahihi na dira yetu.
 
Back
Top Bottom