Nyakarungu
JF-Expert Member
- May 1, 2011
- 472
- 377
MM Mimi nimekuwa big believer wa Chama kipya tangu awali. Tukumbuke vyama hivi vya upinzani vimeanza miaka ya 90s waanzilishi wa vyama hivi walikuwa na malengo yao binafsi wengi ni recycled from CCM. Either tunataka au hatutaki ulipo anzia pana nafasi kubwa sana kutengeneza unapokwenda Since majority of "wapinzani" wanatoka CCM basi ideology Zao zimejengeka Kwa misingi ya KiCCM. Tazama katiba zao basi utaona CCM ndani yake, tazama mipango ya ungozi wao basi utaona CCM ndani yao.
Sikubaliani kabisa na wanao sema Watanzania ndio tatizo, Hapana taifa hili ni Changa na wenye upeo wa kuona hili taifa linatakiwa lifike wapi ni wachache na tuliowapa dhamana wote ni wezi. Iwe CCM au CHADEMA ni hao hao. Wametengeneza misingi ya kulindana na wanzilishi bado wapo. Angalia ANC ilikuwa butu Kwa miaka 30 baada ya waanzilishi Kufa ndipo ilipoanzishwa youth league ambayo ili fanya mapinduzi makubwa ya kifikra.
Kuna haja ya kuanzisha chama kipya ambacho kitaanzishwa na kundi la watu at least 100 wenye uwezo na uweleo mbali mbali ambao watatengeneza katiba ambayo si ya kumuweka mtu bali katiba itakayo saidia kuleta maendeleo ambayo Watanzania wenzangu wamengoja tangu na kabla ya kuwa Tanzania.
Nchi hii inataji mapinduzi ya kifikra na yeyote ambae alishakuwa CCM hata Kwa weekend moja kama mwanachama basi amepoteza uwezo wa kufikiri. Ni muda muafaka kuachana na siasa mchwara na kuanzisha movement.
Hapa tulikofikia hatuwezi kwenda kwa mwendo huo wa kuwekana ndani na kunyongana kwa kuwa wote ndio sisi sisi. Mimi ni masikini lakini mjomba wangu fisadi ndiye ananilipia kodi ya nyumba. Mimi ni fisadi lakini nategemewa na ukoo mzima bila kujali natoa wapi pesa. Mimi ni masikini lakini nafoji vyeti mwanangu aingie jeshi au chuo. Sasa wote tumo ndani na tunaishiriki zambi hii nani atapona likiinuliwa panga? mimi naona hatuwezi kufunga au kunyonga asilimia arobaini ya raia ambao ni uozo katika nchi hii. Kinachofaa hapa tuingie katika kipindi cha mpito cha suluhu. Tutengeneze maadili mapya turudishe azimio la Arusha kisha tuanze moja na kusema yaliyopita yamepita na aliyepata kapata na aliyekosa kakosa tuanze upya. Mambo ya kuangalia nyuma na kulipa visasi hatutaenda mbele bali tutaingia kwenye mauaji ya halaikiNajiuliza kama kuna watu wameanza kuwa kama mimi; vyama vyote vya kisiasa vilivyopo nchini haviwezi kutupatia kile tunachohitaji kama taifa.
Siyo CCM, CHADEMA, CUF au TLP ambacho kilivyo sasa kinaweza kuwa tumaini la Watanzania.
Je, kuanzisha chama kingine ambacho kitatoka kwa wananchi na chenye ajenda ya mabadiliko ya kweli na kikiongozwa na watu wenye mwelekeo wa mabadiliko na wasioogopa political confrontation na ambacho hakitasita kufanya what is necessary to restore law and order and a constitutional rule kitaweza kuwa na nafasi.
Chama ambacho mrengo wake itakuwa ni kuhakikisha kuwa hakuna kurembuliana macho na mafisadi tena wala kuufafanua ufisadi bali kuushughulikia moja kwa moja.
Chama ambacho kitalenga kuleta mabadiliko ya kimfumo na kimuundo wa serikali yetu ndani ya miaka mitano ya kuingia madarakani kikibeba ajenda ya mabadiliko ya kweli (kikatiba, kisiasa, na kiutendaji) huku kikiwashughulikia kama simba mkali wale wote ambao wamelifikisha taifa letu hapa ikiwemo kutaifisha mali zao, kuwasweka jela na wale ambao ni vigogo wa ufisadi "kunyongwa" kama wanavyofanya huko China!
Chama ambacho hakitawabembeleza wawekezaji kama wakwe zetu!
Au ndiyo tubanane mumu kwa mumu huku tukiulizana "kajamba nani'!
Kule Australia kulifanyika mashindano ya mbio za mbwa. Katika ya mashindano sungura akakatiza kwenye njia za mbio na mbwa wote wakasahau mashindano na wakaanza kumfukuza sungura.
Now: Kwenye uanzishaji wa vyama vya siasa Tanzania kuna nia nzuri tu kama vile mashindano ya mbio za mbwa. Lakini kuna kitu kinaitwa ruzuku ya serikali kwa vyama vya upinzani (sungura).
Najiuliza kama kuna watu wameanza kuwa kama mimi; vyama vyote vya kisiasa vilivyopo nchini haviwezi kutupatia kile tunachohitaji kama taifa.
Siyo CCM, CHADEMA, CUF au TLP ambacho kilivyo sasa kinaweza kuwa tumaini la Watanzania.
Je, kuanzisha chama kingine ambacho kitatoka kwa wananchi na chenye ajenda ya mabadiliko ya kweli na kikiongozwa na watu wenye mwelekeo wa mabadiliko na wasioogopa political confrontation na ambacho hakitasita kufanya what is necessary to restore law and order and a constitutional rule kitaweza kuwa na nafasi.
Chama ambacho mrengo wake itakuwa ni kuhakikisha kuwa hakuna kurembuliana macho na mafisadi tena wala kuufafanua ufisadi bali kuushughulikia moja kwa moja.
Chama ambacho kitalenga kuleta mabadiliko ya kimfumo na kimuundo wa serikali yetu ndani ya miaka mitano ya kuingia madarakani kikibeba ajenda ya mabadiliko ya kweli (kikatiba, kisiasa, na kiutendaji) huku kikiwashughulikia kama simba mkali wale wote ambao wamelifikisha taifa letu hapa ikiwemo kutaifisha mali zao, kuwasweka jela na wale ambao ni vigogo wa ufisadi "kunyongwa" kama wanavyofanya huko China!
Chama ambacho hakitawabembeleza wawekezaji kama wakwe zetu!
Au ndiyo tubanane mumu kwa mumu huku tukiulizana "kajamba nani'!
Point nzuri. Naomba pia nitoke out of point, huyo jamaa kwenye profile picture ni wewe unamsaidia shemeji ama?..Kama ni wewe, Hongera.Kule Australia kulifanyika mashindano ya mbio za mbwa. Katika ya mashindano sungura akakatiza kwenye njia za mbio na mbwa wote wakasahau mashindano na wakaanza kumfukuza sungura.
Now: Kwenye uanzishaji wa vyama vya siasa Tanzania kuna nia nzuri tu kama vile mashindano ya mbio za mbwa. Lakini kuna kitu kinaitwa ruzuku ya serikali kwa vyama vya upinzani (sungura).
Najiuliza kama kuna watu wameanza kuwa kama mimi; vyama vyote vya kisiasa vilivyopo nchini haviwezi kutupatia kile tunachohitaji kama taifa.
Siyo CCM, CHADEMA, CUF au TLP ambacho kilivyo sasa kinaweza kuwa tumaini la Watanzania.
Je, kuanzisha chama kingine ambacho kitatoka kwa wananchi na chenye ajenda ya mabadiliko ya kweli na kikiongozwa na watu wenye mwelekeo wa mabadiliko na wasioogopa political confrontation na ambacho hakitasita kufanya what is necessary to restore law and order and a constitutional rule kitaweza kuwa na nafasi.
Chama ambacho mrengo wake itakuwa ni kuhakikisha kuwa hakuna kurembuliana macho na mafisadi tena wala kuufafanua ufisadi bali kuushughulikia moja kwa moja.
Chama ambacho kitalenga kuleta mabadiliko ya kimfumo na kimuundo wa serikali yetu ndani ya miaka mitano ya kuingia madarakani kikibeba ajenda ya mabadiliko ya kweli (kikatiba, kisiasa, na kiutendaji) huku kikiwashughulikia kama simba mkali wale wote ambao wamelifikisha taifa letu hapa ikiwemo kutaifisha mali zao, kuwasweka jela na wale ambao ni vigogo wa ufisadi "kunyongwa" kama wanavyofanya huko China!
Chama ambacho hakitawabembeleza wawekezaji kama wakwe zetu!
Au ndiyo tubanane mumu kwa mumu huku tukiulizana "kajamba nani'!
Najiuliza kama kuna watu wameanza kuwa kama mimi; vyama vyote vya kisiasa vilivyopo nchini haviwezi kutupatia kile tunachohitaji kama taifa.
Siyo CCM, CHADEMA, CUF au TLP ambacho kilivyo sasa kinaweza kuwa tumaini la Watanzania.
Je, kuanzisha chama kingine ambacho kitatoka kwa wananchi na chenye ajenda ya mabadiliko ya kweli na kikiongozwa na watu wenye mwelekeo wa mabadiliko na wasioogopa political confrontation na ambacho hakitasita kufanya what is necessary to restore law and order and a constitutional rule kitaweza kuwa na nafasi.
Chama ambacho mrengo wake itakuwa ni kuhakikisha kuwa hakuna kurembuliana macho na mafisadi tena wala kuufafanua ufisadi bali kuushughulikia moja kwa moja.
Chama ambacho kitalenga kuleta mabadiliko ya kimfumo na kimuundo wa serikali yetu ndani ya miaka mitano ya kuingia madarakani kikibeba ajenda ya mabadiliko ya kweli (kikatiba, kisiasa, na kiutendaji) huku kikiwashughulikia kama simba mkali wale wote ambao wamelifikisha taifa letu hapa ikiwemo kutaifisha mali zao, kuwasweka jela na wale ambao ni vigogo wa ufisadi "kunyongwa" kama wanavyofanya huko China!
Chama ambacho hakitawabembeleza wawekezaji kama wakwe zetu!
Au ndiyo tubanane mumu kwa mumu huku tukiulizana "kajamba nani'!
Mimi binafsi nafikiri ss vyama tulivyonavyo vinatosha. Tuviimarishe hivi hivi na tusonge mbele.Najiuliza kama kuna watu wameanza kuwa kama mimi; vyama vyote vya kisiasa vilivyopo nchini haviwezi kutupatia kile tunachohitaji kama taifa.