Makaayamawe
JF-Expert Member
- Feb 21, 2009
- 341
- 9
Siyo CCM, CHADEMA, CUF au TLP ambacho kilivyo sasa kinaweza kuwa tumaini la Watanzania.
hili naweza kukubaliana nalo,na walau linamake sense!tuwachukue ''wapiganaji'' halafu tuwagawanye kwa TETRANOMIAL DISTRIBUTION wakapande mbegu zao njema kwenye hici vyamaMkuu MMJJ,
Pole sana maana naona umechelewa kuyaona haya hasa baada ya kutumika sana.
Kwa mtazamo wangu, hivi vyama vyote bado vinafaa sana bali vinahitaji ukarabati wa hali ya juu. Ushauri wangu kwa kifupi;
- CHADEMA: Mbowe aondolewe uenyekiti na nguvu ya baraza la wazee ipunguzwe. Nepotism ndani ya chama nayo ipigwe vita na ipewe adhabu kali.
- CUF: Lipumba na Maalim Seif waachie ngazi. Uundwe mkakati ndani ya CUF kupiga vita udini na kutoa adhabu kali kwa watakaoendekeza udini katika chama.
- TLP na vyama vingine: Wajiunge na wapinzani wenzao.
- CCM: MwanaCCM mmoja ajitolee mhanga na kumpiga risasi Kikwete ili tuondokane na hili balaa analolipalilia la ufisadi na kutowajibika. Wengine watakaofuata watanyooka.
naona tunaleta 1-800-GET-INDICTED hotline news.
Wanaotaka kumpiga risasi rais hawasemi humu, wanaosema humu hawako serious.
Msitake kuwapa sababu wakuda.Juzi naambiwa Bob Matiku alikuwa anashauri JF ipigwe kibomu.
Mkuu, hebu tufahamishe hiyo unayooita Nepotism ndani ya chadema ndo ipi...usinambie habari za Mbowe na Mzee Mtei wala Ndesamburo na Owenya...utakuwa huishii hapo,utafika mpaka kwa kina Walker Bush na George Bush...Indira Gandhi na Rajiv Gandhi...Desiree Kabila na Joseph mwanawe...list ndefu, katika mambo ya siasa,hasa siku hizi, ni mamno ya kawaida iwapo yatakwenda katika mkondo sawa.Kwa mtazamo wangu, hivi vyama vyote bado vinafaa sana bali vinahitaji ukarabati wa hali ya juu. Ushauri wangu kwa kifupi;
- CHADEMA: Mbowe aondolewe uenyekiti na nguvu ya baraza la wazee ipunguzwe. Nepotism ndani ya chama nayo ipigwe vita na ipewe adhabu kali.
- CUF: Lipumba na Maalim Seif waachie ngazi. Uundwe mkakati ndani ya CUF kupiga vita udini na kutoa adhabu kali kwa watakaoendekeza udini katika chama.
- TLP na vyama vingine: Wajiunge na wapinzani wenzao.
- CCM: MwanaCCM mmoja ajitolee mhanga na kumpiga risasi Kikwete ili tuondokane na hili balaa analolipalilia la ufisadi na kutowajibika. Wengine watakaofuata watanyooka.
Halafu na wewe mtu mzima unaunga mkono pumba...unanichefua 'asa!hili naweza kukubaliana nalo,na walau linamake sense!tuwachukue ''wapiganaji'' halafu tuwagawanye kwa TETRANOMIAL DISTRIBUTION wakapande mbegu zao njema kwenye hici vyama
Nadhani hakuna haja ya kuanzisha chama kingine bali kuna haja ya kufuta vyama vyote vya siasa.......haya mambo ya vyama ni kuiga tamaduni zisizo na tija. Tunaweza kufuta vyama na kuwa na serikali makini walau kwa muda ili utaalamu ufanye kazi badala ya siasa kuwa kila kitu. Tukishafikia mahali watu wamebadilika kifikra na kutambua uzalendo na umuhimu wao katika kujenga taifa ndio tunaweza kuamua ni mfumo upi unafaa kuongoza taifa letu.
Kwani kile chama cha COPA cha Afrika Kusini kilianzishwa lini na kilifanya vipi katika uchaguzi wao?
.......... Mavyama yote yaliyopo hapa nchini hayawezi kuboreshwa? Kuanzisha chama kipya ni kurudi nyuma. Tuangalie matatizo tuliyonayo sasa kama yapo na kutatua..........
what happen wamefanya nini? wamevunja katiba na sheria ya nchi? wamevunja sheria za chama chao au nini?kwa jinsi watu wamepiga kura tena kuichagua CCM daliili ya uwepo wa watu hao katika nchi yetu is almost zero! Watanzania wamefikia mahali pa kuridhika na maisha wanayoishi na siasa zilivyo zinaendeleza mawazo hayo hayo.
WAliotuangusha katika haya ni vyama vikubwa viwili cha CHADEMA na CUF. Vyama hivi ningekuwa na uwezo ningefuta katika historia yetu na viongozi wao kuwatupa katika kisiwa cha usahaulifu tuanze upya kwani vinasimama leo hii kama kikwazo thabiti na dhahiri cha mabadiliko tuyatakayo!
what happen wamefanya nini? wamevunja katiba na sheria ya nchi? wamevunja sheria za chama chao au nini?
Pili issue ya Prof. safari kushindwa uchaguzi mkuu wa CUF mimi nafikiri Prof. Safari hajui siasa yeye mwenyewe ni tatizo...zitto na mbowe..nafikiri wazee wa chadema ni tatizo..if that is the case..then..kwa CUF inabidi ndani ya chama atokee mtu ambaye anaweza kupambana kukwelikweli na lipumba na kuhusu wazee wa chadema nafikiri ni kuondoa hako ka-mandate ya wazee kwenye system ya demokrasi bado nina "Imani na CUF na Chadema" tunatakiwa kuwabana kwelikweli mpaka waelewe.
lazima kuwepo na leaders behind the scene(ambao wanaheshimika duniani na Tanzania) wanaowaingiza watu mitaani otherwise..wakipigwa bomu moja la machozi na kuzingiziwa kwamba ni magaidi na wametumwa na Osama..hutawaona tena usoni..wengine wazee wetu wamekuwa victim of dicteta nyerere ..kuongea tunaweza kwenda barabarani..lol naona bado.Kuanzisha chama kipya si jawabu kwani tuna utitiri wa vyama na hakuna mabadiliko.
Watanzania wanatakiwa kuingia mitaani kila siku na mabango ya kudai changes na haki bila kuogopa kupigwa na Polisi. Kwa kufanya hivi mabadiliko na haki vitapatikana katika kipindi cha wiki moja tu.