Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 8,805
- 8,710
Aiseee basi...basi mkuu umeongea kwa uchungu mkubwa,wazazi tuko bize tukiitwa kwenye vikao vya wazazi kuzungumzia maendeleo ya watoto hatuendi,na tatizo kubwa ni wazazi ule uhusiano uliokuwepo kati ya mzazi na waalimu haupo hii ni kutokana na kwamba wazazi wanajifanya wana uchungu na wanao hata ikitokea mtoto amekosea akaadhibiwa mzazi anakuja juu,kwa hiyo ule wito wa waalimu kuwa kama mzazi wa mwanafunzi umepungua sana,waalimu wamebaki kufanya majukumu ya kufundish tu ili wapate mshahara wao suala la ulezi wamelipiga chini kwani hawapati ushirikiano kwa wazazi matokeo yake ndiyo kama hayo.Watanzania hasa vijana wa sasa wanaishi fake life, kila kitu ni fake ,fake, fake.......na nitarudia mpaka kesho you guys your living fake life........mnaishi maisha ya Ulaya, Tanzania....mnajifanya mko busy na kazi kumbe siku nzima mmeshinda JF na kwenye mitandao mingine.......mnajifanya mnabeba malaptop na ma ipad kumbe hamna kitu ni facebook na mainstagram na pornvideos tu yamejaa huko ndani....mnasahu cultural na hata familia zetu........mnapotoshwa na marafiki zenu wanaoishi huko Ulaya na America......eti mnataka kushindana kwenye kwenda outing na mavazi...ni aibu leo hii hata chupi unayovaa unaipiga picture dunia nzima inaona....ni aibu sana. Mnawatesa watoto wenu kwa kufanya mambo ya kuiga.......acheni hizo bwana. Hamna ubuzzy Tanzania....linchi liko tu kila kitu hakiendi kuanzia private sector mpaka government sectors....sasa niambie huo ubizy uko wapi....si mambo yangeenda. Leo unakutana na mdada wa heshima kakaa kwenye computer ofisini unafikiri anafanya kazi kumbe anaangalia aina za mishono ya mavazi kwenye internet....wanaume tulo buzy kutafuta madem online.....upuuzi mtupu huu. Hamna ubuzy wowote ni unafiki tu. Unafikiri ukimpeleka mtoto kuogelea jumapili ndio umemaliza.? unampeleka ili tu upige picture uweke kwenye mitandao watu wakuone na wewe una mtoto lakini ukweli utabaki wewe sio mlezi. Nashikwa na hasira sana watu mnaishi maisha ya vitabu na TV. Ujinga mwingine ni huu wa mtu kuzaa watoto wawili alafu anasema hawezi gharama ya watoto zaidi ya wawili.......upuuzi huu.......li nchi likubwa lina watu Milion 40 wakati vi nchi vidogo ulaya vina watu kuanzia milioni 80 kwenda juuu.....leo hii mnadanganywa fateni nyota ya uzazi na nyie mnadanganyika.....nchi ina mapori kila kona.......nawaambie kizazi hichi cha ngozi nyeusi kitafutika mda si mwingi....inakuaje wao wana ardhi ndogo na maradhi watuambie sisi wenye ardhi kubwa na mali nyingi tupunguze kuzaliana?......upuuzi mtupu huuu.
Basi wazazi katika ubize wetu na watoto wawe sehemu ya huo ubize,watu hapa kila mtu anasema Mungu atusaidie je huyo Mungu anatusaidia bila kumuomba? na unapomuomba unatimiza majukumu yako? huwezi kumuacha mtoto peke yake eti kisa mama fulani yupo bila kumuomba huyo mama fulani akuangalizie mtoto kwa muda utakaokua umetoka. Tumuombe Mungu huku tukitimiza sehemu ya majukumu yetu ya ulezi kwa watoto