Tunafuta ndugu zake

Tunafuta ndugu zake

Taasisi ya Mifupa-MOI

Senior Member
Joined
Apr 15, 2025
Posts
117
Reaction score
211
IMG-20260914-WA0011(1).jpg
 
Kwani wakuu ukipoteza kumbukumbu ndo Ile kusema kama ulikuwa unajua kuandika inabidi uanze upya kwenda darasani kufundishwa kusoma na kuandika?? Au ndo unakuwa kama zezeta au yale mamisukule ya kijijini yakitoroka kwenye mashamba ya wachawi?? Just asking kwa niaba ya layman wenzangu wanaoogopa kuuliza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom