Tunafunga cctv cameras na local area network kwa bei nafuu

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
4,824
5,561
Sisi ni vijana Tunapambana na khali ya ukosefu wa ajira tumejiajiri kwenye hi industry .

Karibuni tuwahudumie ili kuweka ulinzi katika nyumba zenu,shule,hospital ,maduka,bar ,club,restaurant ,hostel etc
Namba zetu ni 0762676448 au 0716522965
Tupo dar es salaam tunasafiri pia mikoani
 
Back
Top Bottom