Tunafanya Processing, Packaging na distribution kwa Beef na Fillet

Tunafanya Processing, Packaging na distribution kwa Beef na Fillet

hasason

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Posts
1,648
Reaction score
1,543
Habari wana jf.

Kampuni ya TAMU BEEF Tanzania ni company inayohusika na mazao ya nyama ikiwemo nyama iliyokatwakatwa tayari, nyama iliyosagwa na fillet za ng'ombe.

Kampuni inaanda nyama katika hali ya usafi na tunapaki na kusambaza mahotelini na kwenye supermarket kwa bei nzuri kabisa.

Tupo Mwanza pia tunapokea orders maeneo mbalimbali Tanzania.
Nyote mnakaribishwa.
 

Attachments

  • DSC_1506.jpg
    DSC_1506.jpg
    171.3 KB · Views: 127
Mkuu hongereni kututoa kimasomaso wazawa,hii ni hatua nzuri kuelekea kujitegemea kiviwanda.
Wakuu kwani hii thread hamuoni umuhimu wa kuichangia walau kuwapa moyo hawa wajasiriamali wetu.MMU mnachangamka sana!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom