Huyo ni sawa na Agness wangu...namkumbuka mpk leo, nilikaa nae miaka 3 bila sex, mwanzon haikuwa rahis ila kwa jinsi tulivyokuwa tukiendelea na mahusiano nilikuja kugundua ananipa faraja zaid ya hata sex..kila siku nilikuwa namwona mpya hakika alikuwa mrembo na aliejua kunipagawisha wakat alilokuwa ananiona nimezidiwa tulikuwa tonafanya romance wakat mwingine tunaenda gym pamoja...huwez amin siku ambayo alinipa penzi nilimkuta bd bikra kitu kilichonishangaza sana..hakuna siku alilia kama hiyo sio kwa 7bu ya maumivu la hasha alisema mimi ndio mwanaume nilioweza kuvunja agano lake na Mungu..na akasema nikimsaliti nitakuwa nimemuumiza zaid, tulilia kama watoto siku hy..haikupita wiki mbili akapata safari ya kwenda Arusha kikazi alipokuwa akirud akapata ajali maeneo ya segera ilikuwa tarehe 12/o4/2014, siwez kuisahau maishani mwangu nilipata taarifa kupitia dada yake Pendo kuwa Agness amefarik..haikuchukua muda baada ya kukata simu nikiwa parking nikitokea ofisin tena mvua ilikuwa inanyesha nilipoteza fahamu. Agness nitamkumbuka daima nimwanamkee pekee alie nionesha ulimwengu wa mapenz ulivyo sijawah mpenda mwanamke km nilivyompenda Aggy...kaka ushaur wa bure huyo ni mwanamke usimwache tafadhali.