Tunaendesha mafunzo ya Advanced Excel for Accountant & HR Professional

TUANDIKIE:training@comskills.co.tz
Tupigie: 0717 71 85 19 au 0762 192 532
Tembele: www.comskills.co.tz
Karibu ofisini tupo makumbusho Business Complex, gorofa ya pili
 
Hizo functions ukipitia google unajifunza mwenyewe, tena youtube kuna hadi video guides.......ila mtawapata lakini
asante ndugu "Punda wa Dobi" , si kila unachotoa kwenye internet unaweza kielewa. hata huko google ilipoanzia bado wanavifundisha darasani tena kwa garama kubwa sana. Thaman ya kitu anakijua anayekitafuta.
Karibu uone tofauti.
 
Mie hamnipati, kuna target market yenu ambayo mmeilenga, usijali utawapata tu.....mtu anauza mizizi ya mwarobaini kuongeza nguvu za kiume na anapata wateja sembuse nyie?? Shaka ondoeni
 
sawa ndugu, asante pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom