Tunaendesha mafunzo ya Advanced Excel for Accountant & HR Professional

ComSkills

JF-Expert Member
May 23, 2015
479
111
"ADVANCED EXCEL for ACCOUNTANT & HR PROFESSIONAL "

The Computer Skills ( COmSkills) tutaendesha mafunzo ya "ADVANCED EXCEL for Accountant & HR Professional"
Tarehe:19- 30/09/ 2016
Ukumbi:MAKUMBUSHO BUS STAND 2nd FLOOR
Muda: saa 12 jioni - 2 usiku.
Walengwa:Accountants, Business Managers,HR, Auditors, Corporate Finance, & Interested Parties.
Maelezo/Kujiunga: 0717 718 519 au 0762 192 532 training@comskills.co.tz
Ada: Tshs. 350,000/= (hii itajumuisha;kitabu cha kozi(A full colored manual), Flash disk (8GB) kwa ajili ya kubebea mazoezi, na miezi mitatu ya kukusaidia kwa ulichokisoma kama utatizika huko kazini)
Course content:ADVANCED EXCEL WEEK for PROFESSIONAL | Comskills
Moto: "Add Skills, Show Your Potential"
 

Attachments

  • tangazo123.png
    tangazo123.png
    948 KB · Views: 118
  • tangazo123.png
    tangazo123.png
    948 KB · Views: 154
Nzuru lakin kwatuliomaliza chuo tupo kitaa ...ña computer skills very partial..mnatusaidiaje
 
Nzuru lakin kwatuliomaliza chuo tupo kitaa ...ña computer skills very partial..mnatusaidiaje
Asante ndugu,karibu sana kwa course uitakayo...tunaunganisha mawazo yote ya shuleni na ya kazini.!!! We put a knowledge you learned at school in practical way.Walimu wetu ni watu waliosoma na wanafanyia kazi wanayokufundisha kwenye ulimwengu halisia. Na ukisoma kwetu ukaonekana mzuri ...huwezi jua,waajili wengi huwa wanatuomba wanafunzi wanaofanya vizuri waweza kuwa wewe ikitokea!! karibu sana;
Tupigie: 0717 718 519
Tembelea: www.comskills.co.tz
 
Ni nzur saana ila ela yake kidogo iko juu
Asante sana ndugu Kiintaneti,Bei tumeiangalia kwa mapana makubwa sana,hakika ni ndogo kwa kile unachokipata.Nakusihi njoo utakubaliana na mimi baada ya hii kozi. Tuwasiliane kwa maelekezo zaidi. 0717 718 519....karibu sana
 
Ni wiki tatu zimebaki mpaka kuanza kwa training(21-25 /03/2016)...bado hujachelewa! Jisajili sasa uongeze ujuzi! Tupigie: 0717 718 519
 
Mkuu mnaweza toa training kwenye department yetu hr ofisini? Na huwa inagharimu tsh ngapi?
 
Mkuu mnaweza toa training kwenye department yetu hr ofisini? Na huwa inagharimu tsh ngapi?
Asante sana ndugu kwa kutuchagua sisi,hilo linawezekana sana mana tunafanya pia tailor made kwa kampuni ndogo, za kati na kubwa kwa mambo ya ICT. Bei zetu ni ndogo mno ila thaman ya muda na pesa itaonekana. Tuwasiliane ili taratibu nyingine ziendelee.
Tupigie: 0717 718 519
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tembelea: www.comskills.co.tz
Karibu sana.
 
Famous Social Networking sites in Africa
  • Windoface: Popular throughout much of the world.
  • hi5: Popular throughout much of the world
  • Netlog: A blogging service available in dozens of languages
 
Ni wiki tu imebaki na nafasi bado unayo ya kupunguza kama sio kumaliza changamoto kwenye excel...jiandikishe sasa.
Tupigie: 0717 718519
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tembelea:www.comskills.co.tz
NB: Baada ya training hatukuachi ivi ivi, bali utakuwa na miezi mitatu ya TECHNICAL SUPPORT tutakuhudumia bure kwenye masuala yahusuyo kile ulichojifunza huko kazini kwako.
Karibu sana.

ig.png
 
KOZI HII ITAENDESHWA TENA MANA WAHITAJI WAMEKUWA WAKIULIZIA SANA NA SASA NAFASI UNAYO TENA KUWEONGEZA UELEWA KATIKA EXCEL,
TUANDIKIE:training@comskills.co.tz
Tupigie: 0717 71 85 19 au 0762 192 532
Tembele: www.comskills.co.tz
Karibu ofisini tupo makumbusho stand, gorofa ya pili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom