nkanga chief
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 2,084
- 1,623
MMESAJILIWA NA NACTE AU NINYI WEZI
Asante sana ndugu "nkanga chief" sisi tumesajiliwa na VETA kwa hapa Tanzania mana ndo wamepewa mamlaka kwa short course & Professionals,kwa huko nje tunakamilisha usajili wa Microsoft, ICDL mentioning few... kama una maswali karibu sana.MMESAJILIWA NA NACTE AU NINYI WEZI
kama hivyo safi goja nitamleta mdogo wanguAsante sana ndugu "nkanga chief" sisi tumesajiliwa na VETA kwa hapa Tanzania mana ndo wamepewa mamlaka kwa short course & Professionals,kwa huko nje tunakamilisha usajili wa Microsoft, ICDL mentioning few... kama una maswali karibu sana.
Tupigie: 0717 71 85 19 / 0762 192 532
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tembelea: www.comskills.co.tz
Tupo: Makumbusho Bus Stand 2nd Floor.
Karibu ujifunze ili kuongeza ujuzi na ufanisi katika kazi zako.
Tunakukaribisha sana ndugu "nkanga chief",ofisi zetu zipo wazi kuanzia saa 06:00 - 20:30 kila siku,isipokuwa jumapili ndo kuanzia saa 10:00 - 20:00,kama hivyo safi goja nitamleta mdogo wangu
Nitawezaje fika ofisi kwenye ofisi zenuKOZI HII ITAENDESHWA TENA MANA WAHITAJI WAMEKUWA WAKIULIZIA SANA NA SASA NAFASI UNAYO TENA KUWEONGEZA UELEWA KATIKA EXCEL,
TUANDIKIE:training@comskills.co.tz
Tupigie: 0717 71 85 19 au 0762 192 532
Tembele: www.comskills.co.tz
Karibu ofisini tupo makumbusho stand, gorofa ya pili
KOZI HII ITAENDESHWA TENA MANA WAHITAJI WAMEKUWA WAKIULIZIA SANA NA SASA NAFASI UNAYO TENA KUWEONGEZA UELEWA KATIKA EXCEL,
TUANDIKIE:training@comskills.co.tz
Tupigie: 0717 71 85 19 au 0762 192 532
Tembele: www.comskills.co.tz
Karibu ofisini tupo makumbusho stand, gorofa ya pili
Ni vepesi sana,inategemea unatokea maeneo gani ya jiji, ila sie tupo makumbusho Business Complex (Stand gorofa ya pili) Tupigie 0717 718519Nitawezaje fika ofisi kwenye ofisi zenu
Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app
Karibu sana ndugu "slaqueen", ada ya kozi nzima ni Tsh. 350,000/= ni kwa wiki mbili na mchanganuo wake upo kwenye post ya kwanza kabisa.Advanced excel ada yake ipojee?!
Asante ndugu "sithole", kozi inaanza kila jumatatu ya wiki kwa wenye uhitaji, sema waeza kufika ofisini kwetu tukakupa utaratibu, tupo Makumbusho Business Complex gorofa ya pili.Mkuu course inaanza tena tarehe ngapi?? rushia hapa ili tujipange
Baada ya kozi kuna vyeti??!Asante ndugu "sithole", kozi inaanza kila jumatatu ya wiki kwa wenye uhitaji, sema waeza kufika ofisini kwetu tukakupa utaratibu, tupo Makumbusho Business Complex gorofa ya pili.
Muda wa hizi kozi za professional ni saa 17:00 - 20:30 kila siku j3-ijumaa na jumamosi kwenye mahitaji muhim.
Tupigie:0717 718519 / 0762192532
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tembelea: www.comskills.co.tz
Karibuni sana
ndugu bei ndo hiyo moja, kwa maana ya laki tatu na nusu. ( Tzs 35,000/=), hapo utapata kitabu bure, flash disk 8 GB yenye mazoezi zaidi ya 50 ndani yake.Na bei ya hr professional je?!