Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,963
- 288,166
vipi hoja zangu ?Mkuu nitolee utata huu..
Hivi were no jinsia gani? I'd yako haieleweki

Watz gambas wametuingiza choo cha mashoga, tusipostuka wote tutaonekana ni machoko.Watu bado hatutaki kuamini huyu mtu ni tatizo,anatutia umasikini na hana nia njema na nchi hii.
Watu hawataki kujiuliza ana agenda gani hasa na nini anakitafuta au anafanya maandalizi ya jambo gani huko mbele.
Watu wamebaki kumtukuza kwasababu ya nafasi yake na wale wanaojaribu kuhoji au kufichua yanayoendelea wanaishia kushambuliwa na wale wa upande wa pili kwa ujinga tu wanafurahia bila kutafakari au kujua kesho itakuwa ni zamu yao.
Mtakuja kushituka kapata majority anayoitaka na atabadilisha vifungu ili kujiimarisha then wote mtakuwa kama vijakazi wake.
Kama leo hii anatoa maagizo nyinyi wa chama chake mjieleze kwa kutokuwepo mjengoni na taarifa za gazeti moja la jana kuwa ni kweli mmeanza kujieleza, ni lazima mjiulize hali itakuwaje huko mbeleni iwapo atafanikiwa katika azima yake hii.
Haya yote mnayoyaona anayafanya na ambayo yanaokenekana ni mazuri yana lengo moja tu la kuwapumbaza na kuwafanya msiwaze nje ya box na ndio maana anatumia nguvu kubwa sana ya media hata kwa mambo ambayo ni ya kawaida kabisa.
Mpaka sasa ameshaonyesha dalilili zote na ndio maana watu makini hata kwenye chama chake kwa sasa wanajizuia kumuonyesha kumuunga mkono tofauti na siku za mwanzo.
He is there not only to stay, but also to do anything whether you like it or no.
Uzuri JF ina-keep records, iko siku mtaurejea huu uzi na kusema watu mnaona mbali.
Time will tell.
Nyie ndio mlio mtukana Jk na kumuona wa hovyo, Sasa kapatikana huyu naye mnaona hafai. Kwaujumla mmesha zoeleka nyie hamnaga jema. Tumemchagua wenyewe mwacheni atutumikie.Watu bado hatutaki kuamini huyu mtu ni tatizo,anatutia umasikini na hana nia njema na nchi hii.
Watu hawataki kujiuliza ana agenda gani hasa na nini anakitafuta au anafanya maandalizi ya jambo gani huko mbele.
Watu wamebaki kumtukuza kwasababu ya nafasi yake na wale wanaojaribu kuhoji au kufichua yanayoendelea wanaishia kushambuliwa na wale wa upande wa pili kwa ujinga tu wanafurahia bila kutafakari au kujua kesho itakuwa ni zamu yao.
Mtakuja kushituka kapata majority anayoitaka na atabadilisha vifungu ili kujiimarisha then wote mtakuwa kama vijakazi wake.
Kama leo hii anatoa maagizo nyinyi wa chama chake mjieleze kwa kutokuwepo mjengoni na taarifa za gazeti moja la jana kuwa ni kweli mmeanza kujieleza, ni lazima mjiulize hali itakuwaje huko mbeleni iwapo atafanikiwa katika azima yake hii.
Haya yote mnayoyaona anayafanya na ambayo yanaokenekana ni mazuri yana lengo moja tu la kuwapumbaza na kuwafanya msiwaze nje ya box na ndio maana anatumia nguvu kubwa sana ya media hata kwa mambo ambayo ni ya kawaida kabisa.
Mpaka sasa ameshaonyesha dalilili zote na ndio maana watu makini hata kwenye chama chake kwa sasa wanajizuia kumuonyesha kumuunga mkono tofauti na siku za mwanzo.
He is there not only to stay, but also to do anything whether you like it or no.
Uzuri JF ina-keep records, iko siku mtaurejea huu uzi na kusema watu mnaona mbali.
Time will tell.
Hakuna mwanadamu aliyeumbwa kwa udongo anayeweza kuangusha chadema .
Unapoteza muda wako kuandika... Utalalamika mpka unaingia kaburini.Watu bado hatutaki kuamini huyu mtu ni tatizo,anatutia umasikini na hana nia njema na nchi hii.
Watu hawataki kujiuliza ana agenda gani hasa na nini anakitafuta au anafanya maandalizi ya jambo gani huko mbele.
Watu wamebaki kumtukuza kwasababu ya nafasi yake na wale wanaojaribu kuhoji au kufichua yanayoendelea wanaishia kushambuliwa na wale wa upande wa pili kwa ujinga tu wanafurahia bila kutafakari au kujua kesho itakuwa ni zamu yao.
Mtakuja kushituka kapata majority anayoitaka na atabadilisha vifungu ili kujiimarisha then wote mtakuwa kama vijakazi wake.
Kama leo hii anatoa maagizo nyinyi wa chama chake mjieleze kwa kutokuwepo mjengoni na taarifa za gazeti moja la jana kuwa ni kweli mmeanza kujieleza, ni lazima mjiulize hali itakuwaje huko mbeleni iwapo atafanikiwa katika azima yake hii.
Haya yote mnayoyaona anayafanya na ambayo yanaokenekana ni mazuri yana lengo moja tu la kuwapumbaza na kuwafanya msiwaze nje ya box na ndio maana anatumia nguvu kubwa sana ya media hata kwa mambo ambayo ni ya kawaida kabisa.
Mpaka sasa ameshaonyesha dalilili zote na ndio maana watu makini hata kwenye chama chake kwa sasa wanajizuia kumuonyesha kumuunga mkono tofauti na siku za mwanzo.
He is there not only to stay, but also to do anything whether you like it or no.
Uzuri JF ina-keep records, iko siku mtaurejea huu uzi na kusema watu mnaona mbali.
Time will tell.
Kwa akili ya duniani unaweza kudhani chadema ilianzishwa na Mtei lakini ukisoma vizuri vitabu vitakatifu utagundua kwamba Chadema imeanzishwa na Mungu mwenyewe ( nitafafanua ukipenda )Really? Once it was established by man it can and will be destroyed by man! Only what God has established can never be destroyed by man.
Unapoteza muda wako kuandika... Utalalamika mpka unaingia kaburini.
Fafanua please!!Kwa akili ya duniani unaweza kudhani chadema ilianzishwa na Mtei lakini ukisoma vizuri vitabu vitakatifu utagundua kwamba Chadema imeanzishwa na Mungu mwenyewe ( nitafafanua ukipenda )
Mpo nyie ndio mmepewa hiyo KAZI. Au umechoka kuonekana kituko?Nkurunzinza Mbowe ni mwenyekiti wako wa kudumu umeshindwa kumtoa unaanzia kurukia kwa mambo ya kufikirika ya JPM. Pambana na Nkurunzinza Mbowe kwanza ndio uanze kufikiria ya kufikirika yako.
Hahahah eti never give up...unapoteza muda Bro
Si mlisema Kikwete ni dhaifu,what's wrong?Watu bado hatutaki kuamini huyu mtu ni tatizo,anatutia umasikini na hana nia njema na nchi hii.
Watu hawataki kujiuliza ana agenda gani hasa na nini anakitafuta au anafanya maandalizi ya jambo gani huko mbele.
Watu wamebaki kumtukuza kwasababu ya nafasi yake na wale wanaojaribu kuhoji au kufichua yanayoendelea wanaishia kushambuliwa na wale wa upande wa pili kwa ujinga tu wanafurahia bila kutafakari au kujua kesho itakuwa ni zamu yao.
Mtakuja kushituka kapata majority anayoitaka na atabadilisha vifungu ili kujiimarisha then wote mtakuwa kama vijakazi wake.
Kama leo hii anatoa maagizo nyinyi wa chama chake mjieleze kwa kutokuwepo mjengoni na taarifa za gazeti moja la jana kuwa ni kweli mmeanza kujieleza, ni lazima mjiulize hali itakuwaje huko mbeleni iwapo atafanikiwa katika azima yake hii.
Haya yote mnayoyaona anayafanya na ambayo yanaokenekana ni mazuri yana lengo moja tu la kuwapumbaza na kuwafanya msiwaze nje ya box na ndio maana anatumia nguvu kubwa sana ya media hata kwa mambo ambayo ni ya kawaida kabisa.
Mpaka sasa ameshaonyesha dalilili zote na ndio maana watu makini hata kwenye chama chake kwa sasa wanajizuia kumuonyesha kumuunga mkono tofauti na siku za mwanzo.
He is there not only to stay, but also to do anything whether you like it or no.
Uzuri JF ina-keep records, iko siku mtaurejea huu uzi na kusema watu mnaona mbali.
Time will tell.
Kenge huwa haamini kuwa anapigwa Mpaka aone damu zinatoka Masikioniunatulisha ujinga?? hakuna tusichojua kama MTU anakosea hakuna haja ya kutuambia tutaona wenyewe .. utapata tabu sanaaaaa
Wabunge wa chichiem wanapeleshwa kama mifugo.Maneno ya Salary Slip msiyabeze. Kuna overreach za ajabu. Mbunge kutokwenda bungeni si suala la rais kumuuliza au hata chama chake kumuuliza in public. Yeye kama Mwenyekiti wake akaumuulizie huko kwenye chama. Utoro wa mbunge unashughulikiwa na Spika kwa kutumima kanuni za kibunge. Masuala ya bunge ni nje ya shughuli za rais wala za mtu awaye yote nje ya bunge. Siku hizi rais ni zaidi ya mbunge.
Juzi juzi hapa viunga vya Dodoma, wabunge wa CCM wakatoka kwenda lunch wanalia lia kuwa mwenzao mmoja alipangwa kamati fulani. Alipohudhuria kamati siku ya kwanza akauliza maswali mazito, kesho yake ikaja simu kutoka juu kwenda kwa Spika kumwamuru amuondoe mara moja kwenye kamati. Spika kwa unyonge akamwita mbungena kuanza kunawa mikono, "unajua Mheshimiwa, Bwana Mkubwa kaja juu wewe kuingia kamati hiyo, kwa hiyo nakuhamishia kamati nyingine. Tuvumiliane ndugu yangu unajua ah..".
Nkurunzinza Mbowe ni mwenyekiti wako wa kudumu umeshindwa kumtoa unaanzia kurukia kwa mambo ya kufikirika ya JPM. Pambana na Nkurunzinza Mbowe kwanza ndio uanze kufikiria ya kufikirika yako.