Tunaendelea kumuonea aibu, kumlinda na kumsitiri

Watu bado hatutaki kuamini huyu mtu ni tatizo,anatutia umasikini na hana nia njema na nchi hii.

Watu hawataki kujiuliza ana agenda gani hasa na nini anakitafuta au anafanya maandalizi ya jambo gani huko mbele.

Watu wamebaki kumtukuza kwasababu ya nafasi yake na wale wanaojaribu kuhoji au kufichua yanayoendelea wanaishia kushambuliwa na wale wa upande wa pili kwa ujinga tu wanafurahia bila kutafakari au kujua kesho itakuwa ni zamu yao.

Mtakuja kushituka kapata majority anayoitaka na atabadilisha vifungu ili kujiimarisha then wote mtakuwa kama vijakazi wake.

Kama leo hii anatoa maagizo nyinyi wa chama chake mjieleze kwa kutokuwepo mjengoni na taarifa za gazeti moja la jana kuwa ni kweli mmeanza kujieleza, ni lazima mjiulize hali itakuwaje huko mbeleni iwapo atafanikiwa katika azima yake hii.

Haya yote mnayoyaona anayafanya na ambayo yanaokenekana ni mazuri yana lengo moja tu la kuwapumbaza na kuwafanya msiwaze nje ya box na ndio maana anatumia nguvu kubwa sana ya media hata kwa mambo ambayo ni ya kawaida kabisa.

Mpaka sasa ameshaonyesha dalilili zote na ndio maana watu makini hata kwenye chama chake kwa sasa wanajizuia kumuonyesha kumuunga mkono tofauti na siku za mwanzo.

He is there not only to stay, but also to do anything whether you like it or no.

Uzuri JF ina-keep records, iko siku mtaurejea huu uzi na kusema watu mnaona mbali.

Time will tell.
Hawa ndio ndugu zake wa damu anawategemea kwa 300%
Screenshot_2018-09-27-15-41-40-1.jpg
 
Nkurunzinza Mbowe ni mwenyekiti wako wa kudumu umeshindwa kumtoa unaanzia kurukia kwa mambo ya kufikirika ya JPM. Pambana na Nkurunzinza Mbowe kwanza ndio uanze kufikiria ya kufikirika yako.
Unatumia nini kufikiria? Hivi unajua Mbowe akizingua tunamuachia CHADEMA yake? Inakuaje unamfananisha Mbowe na huyu anayezungumzwa maana hata akizingua tutamuachia nchi!?
Siku nyingine fikiria kabla hujaandika upuuzi wako aiseee
 
Mbona ashazingua sana na bado unamnyenyekea? Muachie basi SACCOS yake.
 
Wanaonufaika na muhula wake kamwe hawawezi kukuelewa, watakutupia mawe na kumtukuza kwakuwa anawafaa wao na familia zao(ubinafsi).
Kuna wenye hofu kwakuwa mali walizonazo hawawezi kuzitolea maelezo kwahiyo hawana budi kumpigia makofi hata akipumua hewa chafu ili tu kujinusuru.
Wapo waliopewa vyeo/madaraka kwa wengine kupokwa, watasemaje na wapo ndoani, kulala bila nguo ni lazima sio hiyari.
Wapo wakongwe toka awamu zote wanatetemeka kila wawapo, hawali, hawanywi, hawalali kwa raha kwa kumhofia maana wana madhambi yao tofautitofauti waliyoyatenda awamu zote yanawagharimu kuyalinda kwa kukaa kimya kama misukule.
Kwa ufupi mtu/watu safi wanaoweza kusimama imara na kusema bila woga ndani ya chama chake hawapo na hawatazaliwa ndani ya chama hicho kongwe.
Uthubutu huo upo ktk vyama vya upinzani tu basi mfano mzuri Tundu Lisu.
 
Watu bado hatutaki kuamini huyu mtu ni tatizo,anatutia umasikini na hana nia njema na nchi hii.

Watu hawataki kujiuliza ana agenda gani hasa na nini anakitafuta au anafanya maandalizi ya jambo gani huko mbele.

Watu wamebaki kumtukuza kwasababu ya nafasi yake na wale wanaojaribu kuhoji au kufichua yanayoendelea wanaishia kushambuliwa na wale wa upande wa pili kwa ujinga tu wanafurahia bila kutafakari au kujua kesho itakuwa ni zamu yao.

Mtakuja kushituka kapata majority anayoitaka na atabadilisha vifungu ili kujiimarisha then wote mtakuwa kama vijakazi wake.

Kama leo hii anatoa maagizo nyinyi wa chama chake mjieleze kwa kutokuwepo mjengoni na taarifa za gazeti moja la jana kuwa ni kweli mmeanza kujieleza, ni lazima mjiulize hali itakuwaje huko mbeleni iwapo atafanikiwa katika azima yake hii.

Haya yote mnayoyaona anayafanya na ambayo yanaokenekana ni mazuri yana lengo moja tu la kuwapumbaza na kuwafanya msiwaze nje ya box na ndio maana anatumia nguvu kubwa sana ya media hata kwa mambo ambayo ni ya kawaida kabisa.

Mpaka sasa ameshaonyesha dalilili zote na ndio maana watu makini hata kwenye chama chake kwa sasa wanajizuia kumuonyesha kumuunga mkono tofauti na siku za mwanzo.

He is there not only to stay, but also to do anything whether you like it or no.

Uzuri JF ina-keep records, iko siku mtaurejea huu uzi na kusema watu mnaona mbali.

Time will tell.

We ni jinga kabisa
April 26 ungetokea ningekuelewa kuhoji hiki unachohoji.
Otherwise, pambana na hali yako. Tena usitikise kabisa za kwetu. Hasa ya kwangu, usiitikise kabisaaaa
 
kama ungemfahamu huyo unayemuita jinga nina hakika ungejitoa jf kwa aibu .
 
wewe utakuwa mnyamlenge siyo bure!! una akili ya kishetani na roho mbaya
 
Watu bado hatutaki kuamini huyu mtu ni tatizo,anatutia umasikini na hana nia njema na nchi hii.

Watu hawataki kujiuliza ana agenda gani hasa na nini anakitafuta au anafanya maandalizi ya jambo gani huko mbele.

Watu wamebaki kumtukuza kwasababu ya nafasi yake na wale wanaojaribu kuhoji au kufichua yanayoendelea wanaishia kushambuliwa na wale wa upande wa pili kwa ujinga tu wanafurahia bila kutafakari au kujua kesho itakuwa ni zamu yao.

Mtakuja kushituka kapata majority anayoitaka na atabadilisha vifungu ili kujiimarisha then wote mtakuwa kama vijakazi wake.

Kama leo hii anatoa maagizo nyinyi wa chama chake mjieleze kwa kutokuwepo mjengoni na taarifa za gazeti moja la jana kuwa ni kweli mmeanza kujieleza, ni lazima mjiulize hali itakuwaje huko mbeleni iwapo atafanikiwa katika azima yake hii.

Haya yote mnayoyaona anayafanya na ambayo yanaokenekana ni mazuri yana lengo moja tu la kuwapumbaza na kuwafanya msiwaze nje ya box na ndio maana anatumia nguvu kubwa sana ya media hata kwa mambo ambayo ni ya kawaida kabisa.

Mpaka sasa ameshaonyesha dalilili zote na ndio maana watu makini hata kwenye chama chake kwa sasa wanajizuia kumuonyesha kumuunga mkono tofauti na siku za mwanzo.

He is there not only to stay, but also to do anything whether you like it or no.

Uzuri JF ina-keep records, iko siku mtaurejea huu uzi na kusema watu mnaona mbali.

Time will tell.
Dah...Sasa braza..kwa mfano...watanzania tunakupa mamlaka... kwa tulipokuwa 2015...ya kutuwekea mtu pale...ungetuwekea nani? ...kwa mfano tu braza[emoji41]
 
Back
Top Bottom